Search results

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Mapumziko: Kagera Sugar 0 vs 2 Simba sc

    Mapumziko: Kagera Sugar 0 vs 2 Simba sc

    🚨𝐌𝐀𝐏𝐔𝐌𝐙𝐈𝐊𝐎 #NBCPremierLeague🏆 Kagera Sugar 0-2 Simba SC ⚽Kapombe (Zimbwe Jr🅰️) ⚽Ahoua
  2. Kikosi Cha Simba sports club vs Kagera Sugar Leo 21 December 2024

    Kikosi Cha Simba sports club vs Kagera Sugar Leo 21 December 2024

    Kikosi cha Simba SC dhidi ya Kagera Sugar Moussa CAMARA (GK) Shomari KAPOMBE Mohammed HUSSEIN (C) Chamou KARABOU Abdulrazak HAMZA Fabrice NGOMA Awesu AWESU Debora MAVAMBO Desse MUKWALA Jean AHOUA Elie MPANZU
  3. Michezo Ya Leo Jumamosi 21 December 2024

    Michezo Ya Leo Jumamosi 21 December 2024

    Mechi za Leo Jumamosi 21 December 2024 Tanzania – NBC Premier League 16:00 Kagera Sugar vs Simba SC Tanzania – NBC Championship 16:00 TMA FC vs Transit Camp 16:00 Mtibwa Sugar vs Bigman FC England – Premier League 15:30 Aston Villa vs Manchester City 18:00 Brentford vs Nottingham Forest 18:00...
  4. Ratiba Ya Mchezo Ya Leo Ijumaa 20 December 2024

    Ratiba Ya Mchezo Ya Leo Ijumaa 20 December 2024

    Hii hapa ratiba kamili ya Mechi za Leo Leo Ijumaa 20 December 2024 Tanzania – NBC Premier League 19:00 Namungo FC vs JKT Tanzania Spain – Laliga 23:00 Girona vs Real Valladolid Germany – Bundesliga 22:30 Bayern Munich vs RB Leipzig Italy – Serie A 22:45 Hellas Verona vs AC Milan Netherlands...
  5. Uchambuzi Mechi Ya Yanga 3 vs 2 Mashujaa Fc Leo 19 December 2024

    Uchambuzi Mechi Ya Yanga 3 vs 2 Mashujaa Fc Leo 19 December 2024

    Ramovic kama kawaida yake na 4-2-3-1 , wakiwa na umiliki wa mpira wanaswitch na kuwa 2-3-2-3 (CBs wawili nyuma then Kibwana na Yao wanasogea juu mstari mmoja na Aucho huku Duke na Aziz Ki kama namba 10 wawili nyuma ya Pacome , Mzize na Dube walitengeneza uwiano mzuri eneo la mbele wakiwa na...
  6. Kikosi Cha Yanga vs Mashujaa Fc Leo 19 December 2024

    Kikosi Cha Yanga vs Mashujaa Fc Leo 19 December 2024

    Hiki hapa Kikosi Cha Yanga vs Mashujaa Leo 19 December 2024 1:Khomeiny Abubakar 2:Kouassi Yao 3:Kibwana Shomari 4: Dickson Job (C) 5:Ibrahim Abdallah 6:Khalid Aucho 7:Clement Mzize 8:Duke Abuya 9:Prince Dube 10:Stephen Aziz Ki 11:Pacome Zouzoua Hiki hapa Kikosi Cha Mashujaa Fc kinachoanza...
  7. Siku Ya Mchezo: Young African vs Mashujaa Fc Nbc Premium league 2024/2025.

    Siku Ya Mchezo: Young African vs Mashujaa Fc Nbc Premium league 2024/2025.

    Kikosi Cha Yanga Leo saa kumi jioni kitashuka Dimbani KMC Complex kumenyana na Mashujaa (Mapigo na mwendo), Yanga watacheza mchezo Wao wa kumi na mbili "12" kunako Ligi kuu Nbc Tanzania huku wakiwa na Alama 27 nafasi ya Nne. Daktari wa klabu ya Yanga Moses Etutu amelishauri bechi la ufundi la...
  8. Simba sports club safarini Leo Tarehe 19 December 2024 Kuwakabili Kagera Sugar.

    Simba sports club safarini Leo Tarehe 19 December 2024 Kuwakabili Kagera Sugar.

    Kikosi cha Simba sports club kinaondoka leo saa tano asubuhi kuelekea Bukoba, Kagera kwa ajili ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar, utakaopigwa jumamosi ya Desemba 2, 2024. Baada ya mechi jana wachezaji waliruhusiwa kurudi nyumbani kwao kwaajili ya mapumziko na Sasa wamewasili kambini tayari Kwa...
  9. Takwimu Za Simba sports club Hadi Leo Tarehe 18 December Kwenye Ligi Kuu Nbc Tanzania 2024/2025.

    Takwimu Za Simba sports club Hadi Leo Tarehe 18 December Kwenye Ligi Kuu Nbc Tanzania 2024/2025.

    SIMBA SPORTS CLUB KATIKA LIGI KUU MPAKA SASA ➡️ROUND 12.✅ ⚽ WAFUNGAJI BORA 🇨🇲Leonel Ateba - 5 🇨🇮Jean Charles Ahoua - 5 🇹🇿Valentino Mashaka - 2 🇺🇬Desse Mukwala - 2 🇨🇲Che Melone - 2 🇹🇿Awesu Awesu - 2 🇹🇿Edwin Balua - 2 🇨🇩Fabrice Ngoma - 1 🇨🇬Debora Fernandez - 1 🇹🇿Shomari Kapombe - 1 🇹🇿Mohammed...
  10. Uchambuzi, Mechi Ya Simba vs Ken Gold Leo Tarehe 18 December 2024

    Uchambuzi, Mechi Ya Simba vs Ken Gold Leo Tarehe 18 December 2024

    Simba walimaliza game kipindi cha kwanza , walikuwa bora kwenye kila eneo (Wakiwa na mpira na wasipokuwa na mpira ….. Nafikiri ni wao tu kuwa na utulivu eneo la mwisho walitengeneza nafasi nyingi sana . Kipindi cha pili , Fadlu Davids aliamua kuifunga game (Fabrice & Mzamiru Out then Kagoma na...
  11. Msimamo wa Ligi kuu Nbc Tanzania Bara Baada Ya Mchezo Wa Leo Tarehe 18 December 2024.

    Msimamo wa Ligi kuu Nbc Tanzania Bara Baada Ya Mchezo Wa Leo Tarehe 18 December 2024.

    Huu hapa msimamo wa Ligi kuu Nbc Tanzania Bara Baada ya Mchezo wa Leo (Simbasc vs Ken Gold).
  12. Mchezo Umetamatika: Simba 2 vs 0 Ken Gold

    Mchezo Umetamatika: Simba 2 vs 0 Ken Gold

    Simba wameifunga Ken Gold katika Ligi kuu ya Nbc Tanzania Magoli mawili "2" Kwa sufuri, Magoli yote yakifunga na Mchezaji Wao hatari Leonel Ateba katika dakika ya 41 na 44 kipindi Cha Kwanza. Simba Sasa anafikisha alama 31 katika michezo 12 ya Ligi kuu Nbc Tanzania. Mfungaji Leonel Ateba nae...
  13. Mapumziko: Simba SC 2 vs 0 Ken Gold

    Mapumziko: Simba SC 2 vs 0 Ken Gold

    Kipindi Cha kwanza kimeisha huku Simba wa Msimbazi wapo kifua mbele Kwa Goli mbili zote zikiwekwa kimiani na Leonel Ateba katika dakika ya 42' na 44' huku Ken Gold bado hawajapata Kitu.
  14. Kikosi Cha Simba sports club vs Ken Gold Leo

    Kikosi Cha Simba sports club vs Ken Gold Leo

    Kikosi cha Simba SC dhidi ya Ken Gold Camara, Kijili, Nouma, Chamou, Melone, Mzamiru, Chasambi, Ngoma, Ateba, Kibu & Awesu Mpanzu akipata leseni ataanza akikosa ataanza Awesu Zimbwe Jr & Ahoua wako benchi, Mavambo & Kapombe hawapo kabisa wanakosekana leo
  15. Majibu Ya Kwanini Mpanzu Anaweza Asicheze Leo kisa ITC na Usajiri wake ushakamilika Toka muda!?..

    Majibu Ya Kwanini Mpanzu Anaweza Asicheze Leo kisa ITC na Usajiri wake ushakamilika Toka muda!?..

    Katika mechi ya leo ya Simba dhidi ya Ken Gold.. ELIE MPANZU anaweza asitumike kutokana na ITC yake kutoka AS VITA, bado hawajairuhusu ili jina lake lisomeke Simba. Lakini viongozi wanapambana ili mchakato huo ukamilike ili acheze leo. ITC ni ufupisho wa INTERNATIONAL TRANSFER CERTIFICATE...
  16. Mechi za Leo Jumatano 18 December 2024

    Mechi za Leo Jumatano 18 December 2024

    Tanzania – NBC Premier League 16:00 Simba SC vs KenGold Spain – Laliga 23:30 Espanyol vs Valencia 23:30 Villarreal vs Rayo Vallecano France – Ligue 1 23:00 AS Monaco vs Paris Saint-Germain England – EFL Cup: Quarter-finals 22:30 Arsenal vs Crystal Palace 22:45 Newcastle United vs Brentford...
  17. Tetesi za Usajiri Dirisha Dogo December 2024, Ligi Kuu Tanzania.

    Tetesi za Usajiri Dirisha Dogo December 2024, Ligi Kuu Tanzania.

    Klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba inafuatilia kwa karibu kiwango cha Allan Okello (24) mchezaji wa Klabu Vipers inayoshiriki Ligi kuu Nchini Uganda. Okello, ni miongoni mwa vijana waliojaliwa kipaji kwani huwa anaitwa na kianza kwenye kikosi cha kwanza cha Uganda Cranes licha ya Timu hiyo kuwa...
  18. Waziri Wa Sanaa na Michezo Ametoa Maelekezo Kufuatia kuvunjwa viti Benjamin mkapa.

    Waziri Wa Sanaa na Michezo Ametoa Maelekezo Kufuatia kuvunjwa viti Benjamin mkapa.

    Haya hapa maekezo aliyoyatoa waziri Wa Sanaa na Michezo Tanzania juu ya kuvunjwa viti Benjamin mkapa. MAELEKEZO ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi kufuatia uharibifu wa viti uliofanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo...
  19. Mabadiliko Ya Ratiba Za Simba NBC

    Mabadiliko Ya Ratiba Za Simba NBC

    Mchezo namba 125 wa ligi kuu ya NBC kati ya Tabora United dhidi ya Simba SC uliokuwa uchezwe December 28 umeondolewa kwenye ratiba na utapangiwa tarehe nyingine sababu kubwa ya mchezo huo kuondolewa kwenye ratiba Simba kuanza mzunguko wa pili huku ikiwa na mchezo wa raundi ya kwanza haujachezwa...
  20. Tetesi za usajiri SIMBA SC Msimbazi

    Tetesi za usajiri SIMBA SC Msimbazi

    Hizi hapa tetesi za usajiri kunako katika club ya Simba sports. Baada ya Dirisha dogo Jana December 15, 2024 kufunguliwa Viongozi wa wekundu hao hii Leo Tarehe 16 wamekamilisha kumuingiza Kwenye mfumo wa usajiri TFF winga wao mpya Elie Mpanzu Kibisawala rasimi kuanza kukitumikia Kikosi hicho...
Back
Top Bottom