ajira

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. MATOKEO YA USAILI WA VITENDO ULIOFANYIKA TAREHE 07/05/2025 AJIRA PORTAL

    MATOKEO YA USAILI WA VITENDO ULIOFANYIKA TAREHE 07/05/2025 AJIRA PORTAL Utumishi

    Haya hapa matokeo ya usaili wa vitendo uliofanyika tarehe 07/05/2025 Ajira Portal au Utumishi Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)...
  2. Kibali cha Ajira Mpya 33,212 Walimu, Afya na kada Mbalimbali Utumishi

    Kibali cha Ajira Mpya 33,212 Walimu, Afya na kada Mbalimbali Utumishi 7-5-2025

    Kibali cha Ajira Mpya 33,212 Walimu, Afya na kada Mbalimbali Utumishi. Jitihada za serikali katika kipindi hiki cha Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ajira mpya zilizokuwa zimejazwa ni takriban ajira 149,000, lakini ajira mbadala ambazo Rais Samia Suluhu Hassan alitoa...
  3. Nafasi za Kazi Platinum Credit Tanzania

    Nafasi za Kazi Platinum Credit Tanzania 7-5-2025

    Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Platinum Credit Tanzania kwa Watanzania wote wenye sifa. Wanahitajika kutuma maombi na kujaza ajira mpya hizi. Hivyo wahi sasa na utume maombi mapema 7/05/2025. Tuma maombi kwenda [email protected]
  4. TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 06-05-2025 AJIRA PORTAL

    TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 06-05-2025 AJIRA PORTAL UTUMISHI

    Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini Afya, walimu na taasisi mbalimbali kutoka utumishi/ajira portal. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 16-06-2024 na tarehe 05-04-2025 kuwa...
  5. Nafasi za Kazi 90 Kutoka Mji Tunduma Ajira za Wakusanya Mapato

    Nafasi za Kazi 90 Kutoka Mji Tunduma Ajira za Wakusanya Mapato

    Hizi hapa Nafasi za Kazi 90 Kutoka Halmashauri ya Mji Tunduma Ajira za Wakusanya Mapato Kukusanya Ushuru Pakua PDF hapa chini.
  6. Ajira Mpya EFL Tanzania Januari 2025

    Ajira Mpya EFL Tanzania Januari 2025

    Hili hapa tangazo la nafasi za kazi kutoka kampuni ya Enterprise Finance Limited (EFL) 2025 lililo tangazwa siku ya jana kwa watanzania wote, Tuma maombi mapema.
  7. Ajira Mpya Advent Construction Ltd Januari 2025

    Ajira Mpya Advent Construction Ltd Januari 2025

    Tangazo la Nafasi za kazi kutoka kampuni ya Advent Construction Ltd Tanzania lililo tangazwa siku ya leo mapema kwa watanzania wote wenye nia na sifa waweze kutuma maombi kuwania nafasi zilizo katika picha hapo chini. Tuma CV yako kwenda [email protected]
  8. Vitu vya kuzingaia unapokwenda kwenye Usaili Ajira Portal

    Vitu vya kuzingaia unapokwenda kwenye Usaili Ajira Portal

    Hivi hapa Vitu vya kuzingaia unapokwenda kwenye Usaili Ajira Portal katika saili mbalimbali zinazofanyishwa na Sekreatrieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa kada zote.
  9. G

    Ajira Nafasi za kazi Matongo Gold Mine Limited (MGM) Januari 2025 3-1

    Hili hapa Tangazo la Nafasi za kazi Matongo Gold Mine Limited (MGM) Januari 2025 lililo tangazwa siku ya leo mapema.
  10. G

    Ajira Nafasi za kazi Nyantira Mennonite Pre and Primary Schools Januari 2025 3-1

    Hili hapa Nafasi za kazi Nyantira Mennonite Pre and Primary Schools Januari 2025
  11. G

    Ajira MAJINA YA WALIOPANGIWA VITUO VYA KAZI VYA MAAFISA UGANI KILIMO 500 BODI YA KOROSHO TANZANIA 1-1

    BODI YA KOROSHO TANZANIA VITUO VYA KAZI VYA MAAFISA UGANI KILIMO VIJANA 500 KWA AJILI YA PROGRAMU MAALUM YA KUENDELEZA ZAO LA KOROSHO NCHINI KWA MWAKA 2024/2025 - TAREHE YA KURIPOTI KITUO CHA MAFUNZO: 13 JANUARI, 2025 SAA 2:00 ASUBUHI. Kuona Majina yote pakua Hapo Juu sehemu ya "Download"
  12. G

    Ajira Nafasi za kazi Wag Hill Tanzania Januari 2025

    Hili hapa tangazo la Nafasi za kazi Wag Hill Tanzania Januari 2025
  13. G

    Ajira NAFASI ZA KAZI SENAPA SACCOS LTD JANUARI 2025

    SENAPA SACCOS LTD nichama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha wafanyakazi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania kilichopo katika Hifadhi ya Taifa Serengeti. Chama hiki kilianzishwa kupitia sheria namba 06ya mwaka 2013. SENAPA SACCOS LTD kinatangaza nafasi ya kazi ya mhasibu wa chama kwa mwenye...
  14. G

    Ajira Nafasi za Kazi Feza International School Desemba 2024 30-12

    Hili hapa Nafasi za Kazi Feza International School Desemba 2024 lililo tangazwa kwa watanzania wote wenye nia, sifa na vigezo waweze kutuma maombi kuanzia sasa.
  15. Nafasi za Kazi Shule ya Msingi Tumaini Desemba 2024

    Nafasi za Kazi Shule ya Msingi Tumaini Desemba 2024

    Hili hapa Nafasi za Kazi Shule ya Msingi Tumaini Desemba 2024 lililo tangazwa kwa watanzania wote wenye sifa waweze kujaza nafasi za Ajira zilizo tangazwa kama lilivyo ainishwa hapa chini.
  16. G

    Ajira Nafasi za Kazi 140 DSTV Wakala wa Mauzo - Desemba 2024

    WAKALA WA MAUZO (DIRECT SALES REPRESENTATIVE)- NAFASI 140 MBEYA, IRINGA, NJOMBE, SONGWE, KATAVI, RUKWA NA RUVUMA Je, unatafuta fursa ya kuonyesha kipaji chako cha mauzo? Tuna nafasi maalum kwa watu wenye bidii na shauku ya kufanya kazi kama Wakala wa Mauzo katika mikoa mbalimbali!
  17. G

    Ajira Tangazo la Nafasi za Kazi MBIFACU - Desemba 2024 28-12

    Mbinga Farmers’ Cooperative Union (MBIFACU) LTD ilianzishwa chini ya Sheria ya Vyama vya Ushirika Na. 6 ya mwaka 2013 kama Muungano wa Ushirika unaowahudumia na kuwa wakala wa Vyama 114 vya Ushirika wa Masoko ya Kilimo (AMCOS) katika Kanda ya Kusini mwa Tanzania. Muungano huu unafanya kazi...
  18. G

    Ajira Tangazo la Nafasi za Kazi Msaidizi wa Hesabu kutoka TCJE - Desemba 2024 28-12

    Tobacco Cooperative Joint Enterprises Limited (TCJE) ilianzishwa chini ya Sheria ya Vyama vya Ushirika Na. 6 ya mwaka 2013 kama Muungano wa Ushirika kwa lengo la kuwezesha shughuli za sekta ya tumbaku na kukuza maslahi ya kiuchumi ya wanachama, ikiwa ni pamoja na masoko ya tumbaku, ugavi wa...
  19. G

    Ajira Tangazo la Nafasi za Kazi Benki ya CRDB Tanzania - Desemba 2024 28-12

    Afisa Sheria (Masuala ya Madai) atakuwa na jukumu la kushughulikia na kusimamia kesi zote za madai zinazohusisha shirika. Hii inajumuisha kuandaa mikakati ya madai, kuhakikisha uzingatiaji wa sheria, kusimamia mawakili wa nje, na kuwakilisha shirika mahakamani, kwenye mabaraza, au katika...
  20. G

    Ajira Tangazo la Nafasi za Kazi Wilaya ya Mafia - Desemba 2024

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia amepokea Kibali cha Ajira Mpya kwa Ikama ya Mwaka wa Fedha 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 kwa upande wa nafasi za...
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom