Ebu ongea ungependa kianze nini ikiwa umemaliza Chuo tu. Ni hatua gani itaanza katika safari yako ya maisha baada ya masomo
Nyumba
Gari
Ndoa
Ajira
Kujiajiri
Chagua namba na sema kwa nini.
Nafasi za kazi 36 Management and Development for Health (MDH) ni shirika lisilo la kiserikali na lisilo la kifaida, linalolenga kusaidia kukabiliana na changamoto za afya ya umma kwa Watanzania na dunia kwa ujumla. Vipaumbele vya shirika hili ni pamoja na magonjwa ya kuambukiza kama vile UKIMWI...
Tanzania Investment and Consultant Group Limited (TICGL) ni kampuni inayotoa huduma za ushauri na kusaidia uwekezaji kwa lengo la kukuza uchumi na maendeleo endelevu hapa Tanzania. Tunashughulika na kusaidia biashara kwa ushauri wa uwekezaji, uchambuzi wa kiuchumi, na mafunzo ya kuimarisha uwezo...
AKO GROUP LIMITED ilianzishwa jijini Dar es Salaam mwaka 1991 na ni kampuni tanzu ya SF Group of Companies Limited. Kampuni hii ilianzishwa kwa lengo la kuleta ubunifu katika sekta ya huduma za chakula nchini Tanzania kwa kutoa huduma bora zinazokidhi viwango vya kimataifa kupitia kampuni ya...
Hizi hapa nafasi za kazi zilizo tangazwa na Taasis ya Bima ya Tanzania ilisajiliwa na Wizara ya Mambo ya Ndani mwaka 1996 kama tawi la ndani la Taasisi ya Bima ya Chartered (CII) ya London. Hadi sasa, Taasisi ya Bima ya Tanzania inaendelea kufanya kazi kama mshirika wa chama cha wataalamu wa...
ajiraajira mpya
ajira mpya taasis ya bima ya tanzania
ajira taasis ya bima ya tanzania
ajira tanzania
nafasi za kazi taasis ya bima ya tanzania
taasis ya bima ya tanzania
Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi 11 Wilaya ya Mpwapwa December 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa anawatangazia Wananchi wote Raia wa Tanzania wenye sifa zinazohitajika kuomba kujaza nafasi wazi baada ya kupokea vibali vyaa ajira Mpya chenye Kumb Na. FA. 97/228/01/09...
Hizi hapa Nafasi za kazi Nesch Mintech Desemba 2024. Mkurugenzi wa Shughuli za Maabara atahusika na kusimamia shughuli zote za maabara, kuhakikisha kazi zinafanyika kwa ufanisi na kutekeleza mipango ya kimkakati. Nafasi hii inahitaji uongozi thabiti, ujuzi mzuri wa usimamizi, na ufahamu wa kina...
Tazama Pipelines Limited ni kampuni muhimu ya miundombinu ya nishati, inayosafirisha bidhaa za mafuta yaliyosafishwa kutoka Dar es Salaam hadi Zambia na Malawi.
Kama mradi mkubwa wa miundombinu, Tazama Pipelines Limited inatoa fursa mbalimbali za ajira katika idara tofauti.
Pakua PDF hapa chini
ajiraajira mpya
ajira mpya tazama pipelines limited
ajira tanzania
ajira tazama pipelines limited
nafasi za kazi
nafasi za kazi tazama pipelines limited
tazama pipelines limited
wananchi
Amref Health Africa ilianzishwa mwaka 1957 na tangu wakati huo imekua hadi kuwa shirika kubwa zaidi la kimataifa lenye mizizi barani Afrika linalojikita kwenye maendeleo ya afya. Kwa sasa, Amref inatekeleza zaidi ya programu 120 zinazofikia moja kwa moja watu zaidi ya milioni 12 katika nchi 35...
ajiraajira amref health africa
ajira mpya
ajira mpya amref health africa
ajira tanzania
amref health africa
nafasi za kazi
nafasi za kazi amref health africa
wananchi
Kuunda ni kampuni ya kifedha inayojikita katika teknolojia ya kidijitali kwa biashara (B2B), inayosaidia sekta isiyo rasmi kupata mtaji kupitia APIs za kifedha na mifumo ya kipekee ya upimaji wa uwezo wa kukopa (credit scoring). Kampuni hii hutumia data ya tabia na miamala ya watumiaji...
Hizi hapa Nafasi za kazi Chama cha ushirika wa Akiba na Mikopo cha JAM MAONO LIMITED, Arusha katika mpango mkakati wake wa kupanua wigo wa kutoa huduma imeanzisha huduma za uwakala wa fedha kwa mitandao ya simu na huduma za uwakala wa benki kupitia ofisi zake zilizopo eneo la Kimandolu – Jimbo...
Nafasi za kazi 60 Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya linamiliki na kuendesha taasisi za Afya katika Mikoa ya Mbeya na Songwe. Jimbo linayo furaha kutangaza nafasi za kazi kwa watanzania wote wenye sifa stahiki zilizoanishwa hapa chini watakao fanya kazi katika Vituo vifuatavyo: Kituo cha Afya Chitete...
ajiraajira jimbo kuu katoliki la mbeya
ajira mpya jimbo kuu katoliki la mbeya
ajira tanzania
ajira za afya
jimbo kuu katoliki la mbeya
nafasi za afya
nafasi za kazi jimbo kuu katoliki la mbeya
Hizi hapa Nafasi za kazi Shirika la Health and Insurance Management Services Organization (HIMSO) ni shirika la Kitanzania lisilo la kiserikali (NGO) lililoanzishwa mwaka 2012 kwa ajili ya kusaidia jitihada za serikali katika kuhakikisha huduma bora za afya zinapatikana kwa wananchi wote. HIMSO...
Hizi hapa Nafasi za kazi Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) inapenda kuwakaribisha Watumishi wa Umma wenye sifa na nia ya kujiunga na DART kwa njia ya uhamisho kama ifuatavyo:
Mahitaji Muhimu
Muombaji lazima awe Mtumishi wa Umma;
Barua ya maombi iandikwe kwa Kiingereza na isainiwe;
Maombi...
Hizi hapa Nafasi za kazi Platinum Credit Tanzania December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye nia, ari na sifa zote kwa kufata maelezo yaliyotolewa kwenye tangazo hili hapa chini, waweze kutuma maombi yao kuanzia siku ya leo mapema.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi ya Pasiansi Wildlife Security Company Limited (PASCO) anatangaza nafasi 70 za ulinzi kwa wahitimu waliomaliza katika Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori-Pasiansi.
Sifa za mwombaji
i) Amehitimu mafunzo ya mwaka mmoja yanayotolewa na Chuo cha Taaluma ya...
Hizi hapa Nafasi za kazi HR WORLD Tanzania December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye sifa na vigezo waweze kutuma maombi yao kuanzia siku ya leo.
Enza Zaden Africa Ltd ni kampuni ya kilimo cha mboga mboga inayozalisha mbegu bora za kisasa (hybrid). Mbegu zote zinazozalishwa husafirishwa kwenda kampuni mama iliyo nchini Uholanzi, ambako hupitia ukaguzi wa ubora wa hali ya juu kabla ya kusambazwa tena duniani kote chini ya nembo ya Enza...