TAARIFA KUHUSU USAILI WA KADA ZA UALIMU 2024/2025 AJIRA PORTAL - UTUMISHI AJIRA ZA WALIMU 2025
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilitoa taarifa ya kusitishwa usaili wa Walimu tarehe 17 Oktoba, 2024 ambapo taarifa hiyo ilitokana na tangazo la kuitwa kwenye usaili la...
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilitoa taarifa ya kusitishwa usaili wa Walimu tarehe 17 Oktoba, 2024 ambapo taarifa hiyo ilitokana na tangazo la kuitwa kwenye usaili la terehe 15 Oktoba, 2024.
Hivyo, kupitia tangazo hili, Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya...
Hili hapa Nafasi za Kazi Shule ya Msingi Tumaini Desemba 2024 lililo tangazwa kwa watanzania wote wenye sifa waweze kujaza nafasi za Ajira zilizo tangazwa kama lilivyo ainishwa hapa chini.
ZanAjira; Nafasi za kazi 461 Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali December 2024 kama ifuatavyo:
Ajira zilizo tangazwa
1. Mwalimu wa ‘Mathematics’ Daraja la III (ZPSE - 08) Nafasi 66 Unguja na Nafasi 46 Pemba
2. Mwalimu wa...
Ajira za walimu kwa mwaka 2024 zimekuwa zikisubiriwa na wengi, hasa kutokana na ongezeko la mahitaji ya walimu wenye ujuzi wa kufundisha masomo mbalimbali. Ajira hizi ni muhimu katika kuboresha sekta ya elimu na kufikia malengo ya serikali ya kutoa elimu bora kwa kila mtoto. Serikali, kupitia...