Y

CHANGAMOTO AJIRA ZA UHAMIAJI

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Yovina daniel

Member

Reputation: 7%
Joined
Dec 4, 2024
Messages
58
Habari,
Ninashindwa kujaza kwenye kipegele cha form four ( inaniletea majibu ya information mismatch baada ya kujaza)
Majina ya cheti cha kuzaliwa (na NIDA) yanatofautiana na cheti cha form four(na vyeti vyote vya taaluma) nikahisi ndo sababu japo kwingine ninatumia DEED POLL.
Naomba msaada kama inawezekana
Asante.
Habari !
Ulipata msaada na mm unisaidie maana nna changamoto km yako
 
bado msaada juu ya hili swala haujapatikana
mimi ninachokiona ni kuwa hakuna sehemu ya kuweka kiapo, hivyo majina yakiwa yametofautiana inakuwa changamoto.
 
mimi ninachokiona ni kuwa hakuna sehemu ya kuweka kiapo, hivyo majina yakiwa yametofautiana inakuwa changamoto.
kuna uwezekano wa kuwasiliana na wahusika..Kama wanaweza kutusaidia au kutupa muongozo wowote
 
  • Like
Reactions: Sia
kuna uwezekano wa kuwasiliana na wahusika..Kama wanaweza kutusaidia au kutupa muongozo wowote
Mimi naona ni kwenda kutoa malalamiko haya kwenye ukurasa wao wa instagram ili warekebishe mfumo wa ajira uhamiaji
 
Mimi naona ni kwenda kutoa malalamiko haya kwenye ukurasa wao wa instagram ili warekebishe mfumo wa ajira uhaNim

Mimi naona ni kwenda kutoa malalamiko haya kwenye ukurasa wao wa instagram ili warekebishe mfumo wa ajira uhamiaji
Niwewaandikia direct message instagram lakini pia Via email yao, lakini sijapata any reply mpaka sasa.
 
@Gift
Screenshot_20241207_125421_Chrome.webp
 
Niwewaandikia direct message instagram lakini pia Via email yao, lakini sijapata any reply mpaka sasa.
Andika kwenye Tangazo husika au katika post mpya wanazo weka
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom