New member
- Joined
- Nov 23, 2025
- Messages
- 1
Changamoto yangu nilikuwa nafanya maombi ya zimamoto lakini nikiweka namba ya muda ina andika "No record found.please check the NIN and try again,sasa na wakati muda yangu ipo sahihi hapo changamoto ni nne naomba kuuliza