P

Jinsi ya kujisajili na Ajira Portal

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Nilishafunga account ajiraportal hila kila nikijaribu kulogin niadd detail account haifunguki kabisa na nikijaribu kufungua nyingine wanamiambia NIDA only use once. Shida nini wakuu
 
Naomba Msaada,
Nielekeze jinsi ya kujisajili na Ajira Portal, kila Mara nashindwa, nataka ifikie asilimia 100% kwenye wasifu wangu lakini nashindwa.
Naomba Msaada wako.
Ni Mimi Peus.
Kama umeshindwa kujisajili kabisa basi pitia huu mwongozo hapa
 
K
Nilishafunga account ajiraportal hila kila nikijaribu kulogin niadd detail account haifunguki kabisa na nikijaribu kufungua nyingine wanamiambia NIDA only use once. Shida nini wakuu
Kama tiari ushafungua akaunti, basi nenda kwenye email yako kuna ujumbe umetumiwa then confirm kuwa hiyo email yako ili akaunti yako iwe tiari
 
K

Kama tiari ushafungua akaunti, basi nenda kwenye email yako kuna ujumbe umetumiwa then confirm kuwa hiyo email yako ili akaunti yako iwe tiari
Nilisha reset hadi password hili kulogin kuingia kwa account yangu ndo nashindwa au siku hizi huwez fanya kwa simu application
 
Back
Top Bottom