F

Kuchelewa kutuma documents kwa dk chache

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

fedrick

New member

Joined
Apr 24, 2026
Messages
2
habari mimi ni mgeni kidog kwenye mambo ya kuapply kazi Sasa Kuna tangazo moja la intern kwenye kampuni ya logistics Sasa mimi nilifanya application kwa kuchelewa dk 10 maana walisema "We appreciate your prompt response upon receiving this email within 24 hours". Walisema hviii na mimi email nilijibiwa saa 9:31 asubhi mim nikaja kutuma vitu walivyoniambia niwatumie saa 9:40 na mbaya zaidi documents ziliitajika kutumwa ni 5 nikatuma 4 na kama baada ya dk 1 nikatuma follow up email ambapo documents nyengine ndo nikaituma je kutakua na shida yoyote hapo
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom