Mchezo Umetamatika: Simba 2 vs 0 Ken Gold

Mchezo Umetamatika: Simba 2 vs 0 Ken Gold

Revoo

Member

Reputation: 18%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
160
Simba wameifunga Ken Gold katika Ligi kuu ya Nbc Tanzania Magoli mawili "2" Kwa sufuri, Magoli yote yakifunga na Mchezaji Wao hatari Leonel Ateba katika dakika ya 41 na 44 kipindi Cha Kwanza.

Simba Sasa anafikisha alama 31 katika michezo 12 ya Ligi kuu Nbc Tanzania.

Mfungaji Leonel Ateba nae amefikisha Magoli matano "5" sawa na Mchezaji Wao hatari Jean Charles Ahoua mwenye Magoli Matano "5".
IMG-20241218-WA0042.webp
 
Back
Top Bottom