What's new

Nafasi 16 za Ajira Mpya Kutoka Makumbusho ya Taifa ya Tanzania (NMT) Utumishi Octoba 2024

Sia

Member
PSRS: Leo octoba 23, zimetangazwa Nafasi za Ajira Mpya Kutoka Kwa niaba ya Makumbusho ya Taifa ya Tanzania (NMT), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawaalika Watanzania wenye sifa na uwezo stahiki kujaza nafasi kumi na sita (16) za ajira zilizoainishwa hapa chini.

MAKUMBUSHO YA TAIFA YA TANZANIA (NMT)

Makumbusho ya Taifa ya Tanzania (NMT) ilianzishwa kama taasisi ya kisheria chini ya Sheria ya Makumbusho ya Taifa Na. 7 ya mwaka 1980 kama taasisi ya kisayansi, kielimu na kitamaduni. Miongoni mwa majukumu yake muhimu ni kukusanya, kufanya utafiti, kuhifadhi, kulinda, kuonyesha na kutoa elimu kuhusu nyenzo zote zinazohusiana na urithi wa kitamaduni na wa kiasili wa Tanzania. Katika kuhifadhi urithi wa kiasili na kitamaduni, Makumbusho ya Taifa ya Tanzania husambaza maarifa hayo kwa umma kupitia programu za kitamaduni na kielimu, maonyesho, machapisho, vyombo vya habari vya kuchapisha na vya kielektroniki. NMT ina vituo saba vya Makumbusho na majengo kadhaa ya kumbukumbu pamoja na maeneo yaliyopo katika kanda sita za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa sasa, Makao Makuu ya Makumbusho ya Taifa ya Tanzania yapo Mtaa wa Shaaban Robert, Wilaya ya Ilala, mkoa wa Dar es Salaam.

Tarehe ya mwisho ya kutuma maombi ni 3 Novemba, 2024.
 
Sijaona sifa za mwombaji
 
Back
Top