Nafasi za Kazi Ubalozi wa Marekani Tanzania Novemba 2024 | Ajira Mpya AWE

Nafasi za Kazi Ubalozi wa Marekani Tanzania Novemba 2024 | Ajira Mpya AWE 20241109

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,745
Gift submitted a new resource:

Nafasi za Kazi Ubalozi wa Marekani Tanzania Novemba 2024 | Ajira Mpya AWE - Tangazo la Nafasi za Kazi Ubalozi wa Marekani Tanzania Novemba 2024 | Ajira Mpya AWE PDF.

Hizi hapa Nafasi za Kazi Ubalozi wa Marekani Tanzania Novemba 2024 | Ajira Mpya AWE kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutumia maombi kuanzia leo.

Ubalozi wa Marekani kwa kushirikiana na SELFINA na NMB Bank PLC unafurahia kuzindua maombi kwa ajili ya Programu ya Academy for Women Entrepreneurs (AWE) inayolenga kuwaunganisha wanawake wajasiriamali nchini Tanzania na zana zinazohitajika kufanikisha mawazo yao ya kibunifu.
[ATTACH type="full" size="640x360" alt="Nafasi za Kazi...

Read more about this resource...
 
Back
Top Bottom