Hizi hapa Nafasi za Tabibu Daraja la II - TGHS B | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024 zilizo tangazwa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Wizara ya afya inaendelea na utekelezaji wa mpango wa uwekezaji katika afya ya mama na mtoto nchini Tanzania yaani Tanzania Maternal and Child Health Investment Program (TMCHIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia,
Waombaji wanatakiwa kuwa na:
Maelezo ya Ziada:
Waombaji wanashauriwa kuhakikisha wanakamilisha mahitaji yote kabla ya kutuma maombi yao.
Tuma maombi hapa
Tabibu Daraja la II - TGHS B
Sifa za Waombaji:Waombaji wanatakiwa kuwa na:
- Stashahada ya Utabibu
- Diploma in Clinical Medicine ya muda wa miaka mitatu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
- Leseni Hai
- Leseni ya utendaji kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).
Maelezo ya Ziada:
Waombaji wanashauriwa kuhakikisha wanakamilisha mahitaji yote kabla ya kutuma maombi yao.
Tuma maombi hapa