Nafasi za Tabibu Daraja la II - TGHS B | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,737
Hizi hapa Nafasi za Tabibu Daraja la II - TGHS B | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024 zilizo tangazwa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Wizara ya afya inaendelea na utekelezaji wa mpango wa uwekezaji katika afya ya mama na mtoto nchini Tanzania yaani Tanzania Maternal and Child Health Investment Program (TMCHIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia,

Tabibu Daraja la II - TGHS B

Sifa za Waombaji:
Waombaji wanatakiwa kuwa na:
  1. Stashahada ya Utabibu
    • Diploma in Clinical Medicine ya muda wa miaka mitatu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
  2. Leseni Hai
    • Leseni ya utendaji kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).
Nafasi za Tabibu Daraja la II - TGHS B | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024

Maelezo ya Ziada:
Waombaji wanashauriwa kuhakikisha wanakamilisha mahitaji yote kabla ya kutuma maombi yao.
Tuma maombi hapa
 
Hlw naomba msaada kila nikiandika index number inagoma naambiwa namba ni invalid
Naomba kufahamishwa namna sahihi ya kuiandika
 
Habari naomba msaada kila nikiandika index number inagoma naomba kufahamishwa kama kuna namna sahihi ya kuiandika
 
Back
Top Bottom