Hellow everybody, sorry jaman hivi ni kwa namna gani naweza tengeneza CV yangu after finishing university? Nachohitaji jamani sitaki yale masuala sijui umemaliza chuo unaenda mara stationary ndiyo wakuombee kwa kila tangazo la kazi litakalokuwa linatangazwa. Hapana nahitaji niwe nayo kwenye elektroniki devices