Hatua ya kwanza, Nenda katika email yako utaona kuna ujumbe umetumiwa kwamba activate account usipouona huo ujumbe hapo hapo kwenye email yako nenda katika sehemu moja imeandikwa SPAM Folder kisha utaona, gusa look safe kisha itapelekwa inbox katika email yako na utaona link. Kama bado unakwama sema. @Prince kawanila