K

NAWEZAJE KU,EDIT PROFILE YANGU AJIRA ZA UHAMIAJI?

Nawezaje kuedit profile yangu hasa kwenye personal information nmekosea kujaza place of birth nimejaza nilipo sasaivi badala ya kujaza mkoa nlipozaliwa, nlikosea kusoma maelezo, naomba msaada please, imebaki hapo tu ili nmelizie application
Personal details si zinazo tumika ni taarifa kutoka kwenye NIDA yako.
 
Naomba kufahamu kama naweza kubadilisha Elimu kwenda Afya.
Maana zamani nilisajili kama Elimu
 
Naomba kuuliza nawezaje kuendeleza na usajili ikiwa nikiingia tu kunaonesha hakuna kitu
 
Back
Top Bottom