S Sia Moderator Staff member Reputation: 54% Joined Oct 20, 2024 Messages 453 Sunday at 6:50 PM #1 Naomba msaada kwa anayejua zilipo ofisi za NHIF Kigoma Ofisi za Bima ya Afya ziko wapi ni sehemu gani zinapatikana? S Ofisi za NHIF Bima ya Afya Singida ziko wapi? S Sample ya kuandika barua ya malalamiko TRA
Naomba msaada kwa anayejua zilipo ofisi za NHIF Kigoma Ofisi za Bima ya Afya ziko wapi ni sehemu gani zinapatikana? S Ofisi za NHIF Bima ya Afya Singida ziko wapi? S Sample ya kuandika barua ya malalamiko TRA
G Gift Administrator Staff member Reputation: 100% Joined Oct 19, 2024 Messages 1,383 Sunday at 6:51 PM #2 Ofisi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Kigoma ipo Jengo la NHC Biashara House, Ghorofa ya Pili, Barabara ya Lumumba, +255 28 2802650 0800 111 163 - Kwa kutoa taarifa za siri za udanganyifu dhidi ya Mfuko S.L.P 1165 [email protected] Upvote 0 Downvote
Ofisi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Kigoma ipo Jengo la NHC Biashara House, Ghorofa ya Pili, Barabara ya Lumumba, +255 28 2802650 0800 111 163 - Kwa kutoa taarifa za siri za udanganyifu dhidi ya Mfuko S.L.P 1165 [email protected]