S

Ofisi za NHIF Bima ya Afya Kigoma ziko wapi?

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Ofisi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Kigoma ipo Jengo la NHC Biashara House, Ghorofa ya Pili, Barabara ya Lumumba, +255 28 2802650 0800 111 163 - Kwa kutoa taarifa za siri za udanganyifu dhidi ya Mfuko S.L.P 1165 [email protected]
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom