Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC Ofisi ya Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Mufindi Kaskazini katika Jimbo la Mufindi Kusini inapenda kuwataarifu waombaji wote waliopendekezwa kwa nafasi za kazi za Waandishi Wasadizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki. Usaili wa nafasi hizo utafanyika siku ya Jumanne, tarehe 10/12/2024, kuanzia saa 3:00 asubuhi katika vituo vifuatavyo:
Tafadhali zingatia yafuatayo:
Usaili INEC Jimbo la Mufindi
- Tarafa ya Ifwagi - Ukumbi wa Bomani, Mafinga.
- Tarafa ya Sadani - Shule ya Sekondari Sadani.
- Tarafa ya Malangali - Shule ya Sekondari Mbalamaziwa.
- Tarafa ya Kibengu - Shule ya Msingi Usokami.
- Tarafa ya Kasanga - Shule ya Msingi Igowole.
Tafadhali zingatia yafuatayo:
- Hakikisha unafika kwa muda na mahali palipotajwa kwa ajili ya usaili.
- Orodha ya waombaji waliopendekezwa kwa kila Tarafa imeambatanishwa na barua hii.
Attachments