- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 188
Raia wa Kenya Robert Matano (60) ndiye kocha Mkuu mpya wa klab ya Fountain Gate akirithi mikoba ya Mohamed Muya aliyefutwa kazi hivi karibuni.
Mazungumzo ya pande zote mbili yamekamilika na tayari amewasili Tanzania.
Kocha huyo wa zamani wa klab ya Tusker fc ya Kenya Muda wowote atatambulishwa klabuni hapo.
Mazungumzo ya pande zote mbili yamekamilika na tayari amewasili Tanzania.
Kocha huyo wa zamani wa klab ya Tusker fc ya Kenya Muda wowote atatambulishwa klabuni hapo.
Yasin Mustapha Ni Mali Ya Tabora United Fc
09 January 2025