1.Nimeweka elimu mfumo wa ajira wa police lakini education status inaandika pending.. je ni kwangu tu au ndo mfumo upo hivyo kwahiyo niendelee tu kutuma maombi..?
2. ukitumia search mode, mfumo hauruhusu kupakia cheti wala transcript..je nikisubmitt haina shida niendelee na sehemu zingine..?