TAARIFA KUHUSU USAILI WA KADA ZA UALIMU 2024/2025 AJIRA PORTAL - UTUMISHI AJIRA ZA WALIMU 2025

TAARIFA KUHUSU USAILI WA KADA ZA UALIMU 2024/2025 AJIRA PORTAL - UTUMISHI AJIRA ZA WALIMU 2025 Ajira za Ualimu 2025

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 86%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
590
Gift submitted a new resource:

TAARIFA KUHUSU USAILI WA KADA ZA UALIMU 2024/2025 AJIRA PORTAL - UTUMISHI AJIRA ZA WALIMU 2025 - Ajira za Ualinu

Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilitoa taarifa ya kusitishwa usaili wa Walimu tarehe 17 Oktoba, 2024 ambapo taarifa hiyo ilitokana na tangazo la kuitwa kwenye usaili la terehe 15 Oktoba, 2024.

Hivyo, kupitia tangazo hili, Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwatangazia waombaji kazi wote wa Kada za Ualimu ambao usaili wao ulisitishwa kwa muda kuwa usaili huo utafanyika kuanzia terehe 14 Januari, 2025 mpaka tarehe 24...

Read more about this resource...
 
Back
Top Bottom