- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 169
Mara ya mwisho Yanga kucheza dhidi ya Tp Mazembe pale Lubumbashi , Farid Mussa ndio mchezaji aliyezamisha meli ya vijana wa Moise Katumbi kwenye kombe la Shirikisho Afrika ….. leo wanakutana kwenye CAFCL
Kila la Kheri Wananchi
Kila la Kheri Wananchi
Attachments