Unaweza kujiamulia mwenyewe kufanya mtihani wa usahili kwa kanda yoyote au lash!?
Kwa mfano kipindi unafanya maombi ya kazi ulikua kanda nyingine na anuani ya ulipo ikawa ya kanda husika,ila baada yakula shortlisted ukawa upo kanda nyingine na ukabadilisha anuani ya kwenye akaunti yako kabla ya kutangazwa vituo vya usaili.je,unatakiwa kufanyia usahili kanda ipi,Ile ya awali au hii uliyopo sasahivi!?