- Joined
- Apr 18, 2025
- Messages
- 1
Samahani, naomba kuangaliziwa jina langu angela alberto mwapinga ' hydrologists 'nafanyia interview mkoa gani, kwasababu kwenye list ya majina ya interview imeandikwa iringa adress yangu lakini juzi nilibadili nikaandika dar es salaam, sasa sijajua imetumika adress ipi naomba msaada wa kuangaliziwa ili nisije nikakosea nikaenda sehemu sio sahihi