YAH; KUANGALIZIWA SEHEMU YA KUFANYIA INTERVIEW, HYDROLOGISTS.

YAH; KUANGALIZIWA SEHEMU YA KUFANYIA INTERVIEW, HYDROLOGISTS.

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa

Angela mwapinga

New member

Reputation: 1%
Joined
Apr 18, 2025
Messages
1
Usaili unafanya tarehe ngapi?
Samahani, naomba kuangaliziwa jina langu angela alberto mwapinga ' hydrologists 'nafanyia interview mkoa gani, kwasababu kwenye list ya majina ya interview imeandikwa iringa adress yangu lakini juzi nilibadili nikaandika dar es salaam, sasa sijajua imetumika adress ipi naomba msaada wa kuangaliziwa ili nisije nikakosea nikaenda sehemu sio sahihi
 
Walioitwa kwenye usaili kuanzia tarehe 23-25 Aprili 2025.webp

Mkoa wako uko kanda gani?
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom