You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an alternative browser.
You should upgrade or use an alternative browser.
Featured content
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Wakala wa Ndege za Serikali Tanzania (TGFA) ulianzishwa chini ya Sheria ya Wakala za Serikali Na. 30 ya mwaka 1997 (iliyorekebishwa) na kuanza rasmi tarehe 17 Mei, 2002 kupitia Tangazo la Serikali Na. 193 lililochapishwa siku hiyo hiyo. TGFA ilichukua majukumu ya Kitengo cha Ndege za Serikali kilichokuwa chini ya Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi (ambayo sasa ni Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi) kwa lengo la kutoa huduma za usafiri wa anga kwa serikali kwa ufanisi zaidi, gharama nafuu, na mtindo...
Mashindano ya CHAN 2025 yanatarajiwa kufanyika hapa Tanzania kuanzia tarehe 1– 28 Februari 2025.
Wanahitajika watu wenye ari na uzalendo wa kujitolea ili kufanikisha tukio hili kubwa na la kimataifa.
Tanzania ikiwa miongoni mwa nchi mwenyeji wa mashindano haya, tunatoa nafasi za kujitolea kwa vijana wenye utayari wa kutoa muda na nguvu zao kusaidia maandalizi na utekelezaji wa mashindano haya.
SIFA ZA MWOMBAJI
Awe raia wa Tanzania
Umri wa miaka 18 hadi 40
Awe na utayari wa kujitolea...
Leo kutoka Ajira Portal, Katibu wa Sekretarieti yaAjira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara, Idara zinazo jitegemea, Wakala za Serikali, Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi Mia nne sitini na tano (465) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 20 Januari, 2025
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa...
Tangazo la Kuitwa kazini Shirika la Uvuvi na Wilaya ya Mafia. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 10-09-2024 na tarehe 13-11-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya...
Hizi hapa nafasi za kazi za Mteknolojia wa radiografia daraja la II - Radiolojia (Radiograogy Technologist II) kutoka MDAs & LGAs zilizo tangazwa kupitia Utumishi Ajira portal.
Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa Radiolojia kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalum wa Mionzi Tanzania.
Bonyeza hapa kutuma maombi sasa
Hizi hapa nafasi za kazi za Tabibu wa Kinywa na Meno daraja la pili (Dental Therapist II) kutoka MDAs & LGAs zilizo tangazwa leo na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
Kuajiriwa wenye Stashahada ya Tabibu wa Meno(Diploma in Clinical dentistry) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, pia awe amesajiliwa na Baraza la Madaktari.
Bonyeza hapa kutuma maombi sasa
Hili hapa orodha ya majina ya walioitwa kazini Ajira Portal Taasisi mbalimbali Utumishi lililo toka siku ya leo tarehe 08 januari 2025.
Leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 27-04-2024 na tarehe 13-11-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye...