You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an alternative browser.
You should upgrade or use an alternative browser.
Featured content
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TANROADS Novemba 2024 | Kuitwa kwenye Interview Mkoa wa Njombe baada ya zoezi hili utaweza kuona matokeo ya usaili baada ya muda.
MENEJA WA KANDA, TANROADS – NJOMBE anahusika na usimamizi wa kila siku wa mtandao wa barabara kuu na za mkoa katika Mkoa wa Njombe. Majukumu yake makuu yanahusisha usimamizi na maendeleo ya mtandao wa barabara, udhibiti wa mizigo, utekelezaji wa usalama barabarani na hatua za kimazingira, pamoja na kutoa...
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka MITU Novemba 2024 | Ajira Mpya Mwanza Intervention Trials Unit zilizo tangazwa siku ya leo kwa watanzania wote wenye nia na sifa waweze kutuma maombi kuanzia sasa.
Mwanza Intervention Trials Unit (MITU) ni kitengo cha utafiti kilichopo kwenye kampasi ya Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa (NIMR) huko Mwanza, Tanzania. MITU inalenga kusaidia kuboresha afya kwa kufanya tafiti mbalimbali za masuala ya afya, kama VVU, kwa viwango vya juu vya kimataifa...
Hii hapa Orodha ya Majina Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal (PSRS) | Taasisi Mbalimbali | Kada Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 17 Agosti 2023 na 28 Mei 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal na Utumishi 2024 | Mkoa wa Mtwara Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 22 Januari 2024 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Tabora Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 09 Desemba 2023 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada...
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka Kampuni ya PIVOTECH | Ajira Mpya Field Operation Officers- Trainees kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi.
Kampuni ya PIVOTECH Limited ilianzishwa mwaka 2007 kama wazo la marafiki waliokutana na kujadili masuala mbalimbali, yakiwemo changamoto za umeme nchini Tanzania. Marafiki hawa waliamini kuwa "kila tatizo huleta fursa mpya," na hivyo ndivyo wazo la kuanzisha kampuni lilivyozaliwa.
Ajira zilizo tangazwa
1. Field Operation Officers- Trainees...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Shinyanga Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02 Septemba 2024 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada...
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Kuitwa kazini Sekreatarieti ya Ajira Portal | Mkoa wa Mara Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 09 Desemba 2023 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa...
Nafasi za Ufadhili wa Masomo UDSM | Programu ya Fondazione Edu 2024
Tunafurahi kutangaza Programu ya Scholarships ya Fondazione Edu 2024, inayolenga kusaidia wanafunzi wanaostahili na bora wanaoendelea na masomo ya shahada ya kwanza katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Programu hii inatoa fursa ya kipekee kwa wanafunzi wa Tanzania kufaidi msaada wa kifedha na rasilimali zitakazowawezesha kufikia malengo yao ya elimu.
Manufaa ya Scholarship
Gharama za masomo kamili: Fundi ya masomo...