What's new

Featured content

Resource 'JEPGOS Form Four Joint Exams Mtihani Jumuishi wa Kidato cha Nne'
JPEGOS Mtihani Jumuishi wa Kidato cha Nne ni mtihani wa kitaifa unaofanyika nchini Tanzania kwa wanafunzi wa kidato cha nne. Mitihani hii inahusisha masomo mbalimbali kama vile Kiswahili, Kiingereza, Sayansi, Hisabati, na Masomo ya Jamii. Lengo la mitihani hii ni kupima maarifa na ujuzi wa wanafunzi katika maeneo tofauti ili kuandaa wanafunzi kwa elimu ya juu na changamoto za maisha. Uandaaji wa mtihani huu unafanywa kwa ushirikiano kati ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) na shule...
Hello mwananchi, Kwa anayehitaji huduma ya ajira Portal kama kutengeneza akaunti, kurekebisha password etc. Tuma sms au piga 0623446608
Thread 'waliodahiliwa zaidi ya Chuo Kimoja au Programu zaidi ya moja katika awamu ya Tatu 2024/2025'
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimuya Juu na wadau wa Elimu ya Juu ndani na nje ya nchi kuwa udahili katikaAwamu ya Tatu na ya mwisho kwa ngazi ya Shahada ya Kwanza katikaTaasisi za Elimu ya Juu nchini kwa mwaka wa masomo 2024/2025umekamilika. Majina ya waliodahiliwa katika Awamu ya Tatu yanatangazwana vyuo husika. Waombaji waliodahiliwa katika chuo zaidi ya kimoja katika Awamu ya Tatu na wale ambao hawakuweza kuthibitisha udahili katika awamu zilizopita...
Kona ya lugha Kona ya afya na mazingira Kona ya hisabati Kona ya Tehama Kona ya dukani Kona ya sanaa na Ubunifu Kona ya michezo Kona ya nyumbani
Kiakili Kusoma silabi Kufikili kiyakinifu Kukuza msamiati na lugha Kutatua matatizo Kimwili Kuimarisha misuli midogo Kutembeza shingo na macho Kiroho Kukuza moyo wa ushindani Uvumilivu Kuhusianisha
Dadu Karata Kibao fumbo Maumbo Mkeka wa rangi Mizani Kibao cha T Namba na idadi ya vitu Mti wa silabi Shanga na namba Vibao vya namba
Naomba kujua maswali yanayoulizwa mara kwa mara katika usaili elimu wa awali
Upimaji wa fani za elimu ya amali utafanyika kwa kuzingatia miongozo ya mitihani, taratibu na miongozo ya utahini na utunuku ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi. Wanafunzi wote wa Mkondo wa Elimu ya Amali watafanya mitihani ya NACTVET wakiwa Kidato cha II (NVA ngazi ya 1), Kidato cha III (NVA ngazi ya 2) na Kidato cha IV (NVA ngazi ya 3). Zifuatazo ni Fani Kuu za Mkondo wa Elimu ya Amali Uandisi wa Umeme (Electrical Engineering) Uhandisi Mitambo (Mechanical...
Back
Top