Ajira

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo TATC, TIE, NIT December 2024, yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 9 Desemba 2024, orodha kamili ya majina yapo chini hapa...
Replies
1
Views
406
Elisha
Wananchi, Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TIE Interview Taasisi ya Elimu Tanzania December 2024. Tunapenda kuwajulisha waombaji wa kazi ya Afisa Biashara na Masoko...
Replies
0
Views
3K
Hili hapa tangazo la Nafasi za kazi DP World Tanzania December 2024. Biashara ni roho ya uchumi wa dunia, ikileta fursa na kuboresha maisha ya watu kote ulimwenguni. DP World ipo kwa lengo la...
Replies
1
Views
3K
luchemba
Habari, Naomba msaada kuapply ajira za mkataba Tamisemi napata wakati mgumu sana kukamilisha zoezi la maombi
Replies
1
Views
198
Nafasi za kazi Madereva December 2024, Mhusika atasaidia kazi za mji na shughuli za nje, huku akizingatia kikamilifu mwongozo wa usalama barabarani wa Tanzania na sera na kanuni za CIHEB Tanzania...
Replies
0
Views
1K
Nimejaribu kuingia katika tovuti ya uhamiaji ila sijafanikiwa naomba muelekezo katika kufanya maombi ili nikamilishe kabla ya siku ya mwisho.
Replies
1
Views
182
Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi 41 Benki Kuu ya Tanzania Ajira Mpya BOT December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku...
Replies
2
Views
10K
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo muhimu cha serikali kilichoundwa kusaidia mchakato wa kuajiri wafanyakazi wenye ujuzi, sifa, na weledi unaohitajika katika sekta ya...
Replies
0
Views
4K
Hizi hapa Nafasi za kazi CCBRT Tanzania Decemeber 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo. CCBRT inalenga kuwa kituo...
Replies
0
Views
3K
Hizi hapa hatua kwa hatua Jinsi ya Kujisajili Uhamiaji Recruitment Portal | Jinsi ya Kujiunga na kutuma maombi Ajira za Immigration, Jinsi ya kufungua akaunti (Account) katika nafasi zilizo...
Replies
8
Views
13K
nauna7494
Back
Top Bottom