Ajira
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa
Hizi hapa Nafasi za kazi Kwa niaba ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inakaribisha Watanzania wenye sifa, ujuzi, na ari ya...
Hizi hapa Nafasi za kazi 40 Kampuni ya E360 Tanzania December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo kwa kufata vigezo vilivyo ainishwa katika...
Habari, Naomba msaada namna ya kuingia kwenye portal ya Uhamiaji ikiwa nilifungua account na nikasahau neno la siri na sikufika kwenye hatua ya kuthibitisha Email . Na nilipo jaribu kuwatafuta juu...
Pole na majukumu. Changamoto yangu kuu ni hii bachelor degree of science in agricultural natural resources economics and business inayotolewa chuo kikuu cha Dar es salaam kutokupewa nafasi sawa...
Hizi hapa Nafasi za kazi Gran Melia Arusha December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye nia, ari na sifa kwa kufata vigezo vilivyo ainishwa katika tangazo hili.
Habari, Ninashindwa kujaza kwenye kipegele cha form four ( inaniletea majibu ya information mismatch baada ya kujaza) Majina ya cheti cha kuzaliwa (na NIDA) yanatofautiana na cheti cha form...
Kwa wale wanaofanya application za askari uhamiaji, Kuna changamoto ya baada ya kulog in Kuna kuwa hamna kitu pale kinakuwa displayed, sasa sijajua hii imekaaje msaada tafadhali....
Hizi hapa Nafasi 400 za Mkataba Wizara ya Afya | Ajira Mpya Kada za Afya Desemba 2024. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tamisemi kwa kushirikiana na Wizara ya afya inaendelea na...
Hizi hapa Nafasi za Mteknolojia Msaidizi (Dawa) | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024 zilizo tangazwa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Wizara ya afya...
Hizi hapa Nafasi za Muuguzi Daraja la II | Ajira Mpya Kada ya Afya December 2024 zilizo tangazwa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na Wizara ya afya...