Ajira

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Tunatafuta Afisa Rasilimali Watu mwenye motisha na umakini wa hali ya juu kujiunga na idara yetu ya Rasilimali Watu. Afisa Rasilimali Watu atasaidia kushughulikia majukumu mbalimbali kama vile...
Replies
0
Views
573
Hili hapa tangazo la Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini SUA 2024/2025 | BBT, Bodi ya Pamba Tanzania pia kuitwa kazini Chuo cha SUA kwa mwezi November 2024. TANGAZO LA KUPANGIWA VITUO VYA KAZI...
Replies
2
Views
1K
Hili hapa tangazo la Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Utumishi November 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia...
Replies
5
Views
9K
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Utumishi Nyongeza December 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili...
Replies
0
Views
2K
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kazini Utumishi Nyongeza December 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI),, Chuo...
Replies
0
Views
385
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Binti Africa Group November 2024 lililo tangazwa siku ya leo kwa watanzania wote wenye nia, ari na sifa waweze kutuma maombi mpaka tarehe 10 Desemba 2024. Kama...
Replies
0
Views
290
Hizi hapa Nafasi za Kazi Hospitali ya Kamanga Medics November 2024 mwisho wa kutuma maombi ni leo.
Replies
0
Views
699
Leo kampuni ya azam kupitia AzamPay wametangaza nafasi za kazi kwa watanzania wote wenye nia, ari na sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo 30 November 2024. Soma maelezo chini kwenye picha...
Replies
0
Views
599
Hizi hapa nafasi za kazi Kampuni ya Mbeya Cement Company Limited, ambayo ni sehemu ya kundi la Amsons, ni kampuni inayoongoza katika uzalishaji wa bidhaa za ujenzi na uhandisi zinazovutia na...
Replies
2
Views
539
Arthur
Hili hapa tangazo la Nafasi za kazi Feza School November 2024 lililo tangazwa siku ya leo kwa watanzania wote wenye nia, ari na sifa waweze kutuma maombi maombi kuanzia leo.
Replies
0
Views
1K
Back
Top Bottom