Ajira
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa na Makampuni Mbali mbali kutoka Tanzania, Sector Binafsi na Ajira za Serikalini.
Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa
UONGOZI WA SHULE YA AWALI NA MSINGI CHITA ACADEM PRE AND PRIMARY ENGLISH MEDIUM SCHOOL ILIYOPO MKOA WA MOROGORO, HALMASHAURI YA MLIMBA, INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA WALIMU WENYE VIGEZO NA UWEZO...
Wanannchi, Hizi hapa Ajira Mpya 13 Benki Kuu ya Tanzania (BOT) December 2024. Benki Kuu ya Tanzania, ambayo ni Benki Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ilianzishwa kupitia Sheria ya Benki Kuu...
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kazini Geita Ajira za ICAP December 2024. Katibu Tawala Mkoa wa Geita anapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi mbalimbali za kazi waliofanya usaili tarehe 03...
Wasailiwa wa nafasi mbalimbali katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) mnajulishwa kuwa, usaili wa vitendo na mahojiano wa tarehe 5 na 6 Disemba, 2024 utafanyika katika ukumbi wa MOI Phase III...
HAYA HAPA MATOKEO YA USAILI WA VITENDO CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI NA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI ULIOFANYIKA TAREHE 04/12/2024 KUTOKA SEKRETARIETI YA AJIRA KUPITIA UTUMISHI WA UMMA...
HAYA HAPA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) ULIOFANYIKA TAREHE 04/12/2024 Mwongozo: Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la...
Wasailiwa wa kada zote zilizopangiwa kufanya usaili wa mahojiano tarehe 7 Disemba 2024 katika chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya tarehe ya kufanya usaili...
Hizi hapa Nafasi za kazi Ifakara Health Institute December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye nia, ari na sofa zote zilizo ainishwa katika tangazo hili.
Afisa Mwandidikishaji wa Jimbo la Hai anapenda kuwapongeza na kuwajulisha rasmi kwamba mmepata uteuzi kushiriki katika zoezi muhimu la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Uteuzi huu...
Hii hapa orodha ya Majina wa Walioitwa kwenye Mafunzo SIHA Ajira za INEC 2024. Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Siha anawatangazia wale waliofaulu kwenye usaili wa nafasi za Uandikishaji Wasaidizi...