Namna yakujaza program ajira portal

Namna yakujaza program ajira portal

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

JOHN20

New member

Reputation: 1%
Joined
Feb 18, 2025
Messages
2
Habari za Asubuhi .
samahani nilikua natak usaidizi kwenye Mfumo . kuna kazi zmetoka za TBS zinaitaj mtu alie soma certificate ya laboratory assistant. shida niliopata ni kwenye mfumo kujaza program ya laboratory assistant siioni ila course hii Inatolewa vyuoni ila Mitihani inatoka veta cheti chake kina kua ni NVA namba usaidizi kwakujaza program hapo.
 
Last edited by a moderator:
Ingia ajira portal kisha nenda academic qualification kisha institute chagua VETA program search laboratory assistant kama kwenye picha hii
1774344048858.webp

@JOHN20
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom