Habari za Asubuhi .
samahani nilikua natak usaidizi kwenye Mfumo . kuna kazi zmetoka za TBS zinaitaj mtu alie soma certificate ya laboratory assistant. shida niliopata ni kwenye mfumo kujaza program ya laboratory assistant siioni ila course hii Inatolewa vyuoni ila Mitihani inatoka veta cheti chake kina kua ni NVA namba usaidizi kwakujaza program hapo.

Last edited by a moderator: