TAARIFA KUHUSU USAILI WA KADA ZA UALIMU 2024/2025 AJIRA PORTAL - UTUMISHI AJIRA ZA WALIMU 2025
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilitoa taarifa ya kusitishwa usaili wa Walimu tarehe 17 Oktoba, 2024 ambapo taarifa hiyo ilitokana na tangazo la kuitwa kwenye usaili la terehe 15 Oktoba, 2024.
Hivyo, kupitia tangazo hili, Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwatangazia waombaji kazi wote wa Kada za Ualimu ambao usaili wao ulisitishwa kwa muda kuwa usaili huo utafanyika kuanzia terehe 14 Januari, 2025 mpaka tarehe 24 Februari, 2025. Ratiba ya usaili huu itapatikana katika Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira (www.ajira.go.tz) na mitandao rasmi ya kijamii ya Taasisi.
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilianzishwa kwa mujibu wa kifungu 29 (1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298 iliyorejewa 2019, ambayo inaelekeza kuwepo kwa chombo maalumu cha kushughulikia mchakato wa ajira katika Utumishi wa Umma.
Vile vile, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawajulishawasailiwa wote wa kada za ualimu kuwa, usaili wa kuandika (mchujo) na mahojianoya ana kwa ana utafanyika ndani ya mikoa wanayoishi wasailiwa na watapangiwavituo vya kazi kulingana na ufaulu wao popote nchini.
Hivyo basi, waombaji kazi wa kada za ualimu na wale walioomba kwa ajili ya kada zaamali na biashara mnatakiwa kuhuisha taarifa za makazi ya sasa (current physicaladdress) kwenye mfumo wa ‘Ajira Portal’ ili muweze kupangiwa kituo cha kufanyia usailijirani na maeneo mnayoishi kwa sasa. Tangazo la majina kuonesha mtakapofanyia usaililitatolewa tarehe 06 Januari, 2025 kupitia tovuti ya Sekretarieti ya Ajira, mitandao rasmiya kijamii ya Taasisi na akaunti za waombaji kazi kwenye mfumo wa ‘Ajira Portal’
Vilevile wale wote walioitwa kwenye usaili wanatakiwa waje na vyeti vyao halisi vya taaluma, Cheti cha Kuzaliwa pamoja na kitambulisho halisi kwa ajili ya Utambuzi. Vitambulisho vinavyotambulika ni pamoja na; kitambulisho cha Uraia (NIDA), kitambulisho cha Mkazi, kitambulisho cha Mpiga kura, Hati ya Kusafiria, Leseni ya Udereva, Kitambulisho cha Kazi, Barua ya Utambulisho kutoka Ofisi ya Serikali ya Mtaa unaoishi au Sheha.
Aidha, Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawakumbusha watafuta fursa za ajira wote kuwa mchakato wa ajira unaendeshwa kwa kuzingatia misingi ya Sifa, Haki, Usawa na Uwazi hivyo mnapaswa kujiepusha kutoa rushwa na kupokea taarifa potofu.

Ajira
TAARIFA KUHUSU USAILI WA KADA ZA UALIMU 2024/2025 AJIRA PORTAL - UTUMISHI AJIRA ZA WALIMU 2025
Ajira za Ualimu 2025