Search results

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Walioitwa kwenye Usaili MORUWASA

    Walioitwa kwenye Usaili MORUWASA 12-05-2026

    Haya hapa orodha ya majina ya Walioitwa kwenye Usaili MORUWASA Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) anapenda kuwataarifu Waombaji kazi wote walicomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia 18/05/2026 hadi 20/05/2026 hatimaye kuwapangia...
  2. TANGAZO LA MABADILIKO YA ENEO LA USAILI WA VITENDO NA KUAHIRISHWA KWA USAILI

    TANGAZO LA MABADILIKO YA ENEO LA USAILI WA VITENDO NA KUAHIRISHWA KWA USAILI AJIRA PORTAL

    Hili hapa tangazo la mabadiliko ya eneo la usaili wa vitendo na kuahirishwa kwa usaili. Wasailiwa wa kada zilizotajwa kwenye tangazo hili wanapaswa kuzingatia mabadiliko haya.
  3. S

    MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2026 (SHULE ZOTE) ANGALIA Form six 2026/2027 S

    Haya hapa matokeo ya kidato cha sita 2026 shule ya secondary kila mkoa yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2025 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu. Angalia matokeo hapa. https://www.necta.go.tz Au angalia kupitia NECTA...
  4. S

    MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2026 SHULE YA FORM SIX RESULTS

    Haya hapa matokeo ya mtihani wa kidato cha sita (ACSEE) 2026 shule ya secondary zote yaliyotangazwa na Baraza la Mtihani Tanzania leo hii Angalia matokeo yako hapa https://www.necta.go.tz/results/view/acsee
  5. MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ULIOFANYIKA TAREHE 09/05/2026

    MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ULIOFANYIKA TAREHE 09/05/2026 AJIRA PORTAL

    Haya hapa matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika tarehe 09/05/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Pakua PDF hapa. ASSISTANT INSTRUCTOR II...
  6. TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 08-05-2026

    TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 08-05-2026 AJIRA PORTAL

    Hili hapa tangazo la kuitwa kazini Taasisi mbalimbali za Umma 08-05-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-04-2025 na tarehe 21-01-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu...
  7. TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 08-05-2026

    TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 08-05-2026 AJIRA PORTAL

    Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili Taasisi mbalimbali za Umma 08-05-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (NLUPC), Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania...
  8. TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MALINYI 05-05-2026

    TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MALINYI 05-05-2026 AJIRA PORTAL

    Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi mbili (2) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo...
  9. KUAHIRISHWA KWA USAILI WA KADA YA ARTISAN GRADE II (MOTOR VEHICLE MECHANICS) SHIRIKA LA MZINGA

    KUAHIRISHWA KWA USAILI WA KADA YA ARTISAN GRADE II (MOTOR VEHICLE MECHANICS) SHIRIKA LA MZINGA AJIRA PORTAL

    Katibu, Ofisi ya Rais,Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wa kada ya ARTISAN GRADE II ( MOTOR VEHICLE MECHANICS) wa Shirika la Mzinga kuwa, usaili uliopangwa kufanyika tarehe 10/05/2026, 03/06/2026 na tarehe 04/06/2026 umeahirishwa kutokana na sababu zilizo...
  10. MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KIKUU ARDHI (ARU) ULIOFANYIKA TAREHE 04/05/2026

    MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KIKUU ARDHI (ARU) ULIOFANYIKA TAREHE 04/05/2026 AJIRA PORTAL

    Haya hapa matokeo ya usaili wa kuandika chuo kikuu Ardhi (ARU) uliofanyika tarehe 04/05/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na mahali pa usaili. Pakua PDF hapa ASSISTANT LIBRARIAN TRAINEE (1) RESEARCH FELLOW TRAINEE - CIVIL ENGINEERING RESEARCH FELLOW TRAINEE -...
  11. TANGAZO LA KUITWA KAZINI HALMASHAURI YA WILAYA YA NAMTUMBO 04-05-2026

    TANGAZO LA KUITWA KAZINI HALMASHAURI YA WILAYA YA NAMTUMBO 04-05-2026 AJIRA PORTAL

    Hili hapa tangazo ka kuitwa kazini Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 15-12-2025 na tarehe 14-02-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili...
  12. TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 04-05-2026

    TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 04-05-2026 AJIRA PORTAL

    Hili hapa tangazo la kuitwa kazini Taasisi mbalimbali za Umma 04-05-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 24-04-2025 na tarehe 14-02-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu...
  13. MABADILIKO YA RATIBA YA USAILI WA TAA, GST, MOI, CBE NA IAE

    MABADILIKO YA RATIBA YA USAILI WA TAA, GST, MOI, CBE NA IAE AJIRA PORTAL

    Haya hapa mabadiliko ya ratiba ya usaili wa TAA, GST, MOI, CBE NA IAE Wasailiwa wa kada zote zilizotajwa kwenye tangazo hili wanapaswa kuzingatia mabadiliko haya. Angalia hapa...
  14. S

    TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 28-04-2026 AJIRA PORTAL

    Hili hapa kuitwa kazini taasisi mbalimbali za Umma 28-04-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-04-2025 na tarehe 18-03-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni...
  15. TANGAZO LA KUITWA KAZINI WIZARA YA KILIMO 27-04-2026

    TANGAZO LA KUITWA KAZINI WIZARA YA KILIMO 27-04-2026 AJIRA PORTAL

    Hili hapa kuitwa kazini Wizara ya Kilimo 27-04-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-04-2025 na tarehe 18-03-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama...
  16. TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 27-04-2026

    TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 27-04-2026 AJIRA PORTAL

    Hili hapa kuitwa kazini taasisi mbalimbali za Umma 27-04-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-04-2025 na tarehe 18-03-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni...
  17. MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ULIOFANYIKA TAREHE 25-26/04/2026

    MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ULIOFANYIKA TAREHE 25-26/04/2026 AJIRA PORTAL

    Haya hapa matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika tarehe 25-26/04/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Pakua PDF hapa...
  18. S

    Jinsi ya Kutuma Maombi Ajira za Jeshi JWTZ

    Ndio
  19. S

    Kuchelewa kutuma documents kwa dk chache

    Mimi mwenyewe nilikujibu Whatsapp kuwa hakuna shida hapo
  20. S

    Matokeo ya usaili wa kuandika

    Ingia https://www.ajira.go.tz/
Back
Top Bottom