Search results

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Msimamo Wa Ligi Kuu Nbc PL Leo 29 December 2024.

    Msimamo Wa Ligi Kuu Nbc PL Leo 29 December 2024.

    Baada ya michezo miwili ya Nbc PL Leo, huu hapa msimamo wa Ligi ya Nbc PL Tanzania 2024/2025.
  2. Matokeo Ya Michezo Ya Leo Nbc PL 2024/2025

    Matokeo Ya Michezo Ya Leo Nbc PL 2024/2025

    Haya hapa matokeo yote ya michezo miwili ya Nbc PL Tanzania 2024/2025.
  3. Mchezo Umetamatika: Yanga 5 vs 0 Fountain Gate Nbc PL 2024/2025

    Mchezo Umetamatika: Yanga 5 vs 0 Fountain Gate Nbc PL 2024/2025

    Yanga walianza na mikakati sahihi , wakiwa na mpira 2-3-4-1 (Joba na Bacca wanakuwa nyuma then Aucho mbele yao “Pembe tatu shape” huku Kibwana na Boka wanakuwa mstari mmoja then Muda anasogea juu sawa na Aziz Ki , Pacome na Mzize …. Baada ya hapo matokeo yake yalikuwa ni nini ? Yanga walifanya...
  4. Jean Charles Ahoua Wa Simba sports club

    Jean Charles Ahoua Wa Simba sports club

    Ahoua Charles ndiye mchezaji wa kwanza kufunga mabao 5+ na kutoa assists 5+ katika NBC Premier League msimu huu. ◉ 14 - Games ◉ 07 - Goals ◉ 05 - Assists ◉ 12 - G/A Wachezaji wenye G/A nyingi zaidi katika Nbc Premier League 2024|25 hadi sasa . ◉ 13 — Feisal Salum 🇹🇿 ◉ 12 — Ahoua Charles 🇮🇪 ◉...
  5. Beki Simba sports club Afunga Ndoa

    Beki Simba sports club Afunga Ndoa

    Beki wa Klabu ya Simba sports club, Valentine Nouma hapo juzi aliaga ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake wa mda mrefu akiwa kwao Nchini Burkina Faso. Nouma alipata nafasi ya kusafiri kutoka Tanzania mpaka nchini Kwa Bukina Faso huku akiwa amepata baraka zote kutoka Kwa coach wake Fadlu...
  6. Kikosi cha YOUNG AFRICAN'S Vs SINGIDA FOG Leo Tarehe 29 Desemba 2024 NBC Premier League

    Kikosi cha YOUNG AFRICAN'S Vs SINGIDA FOG Leo Tarehe 29 Desemba 2024 NBC Premier League

    Kikosi Cha Young African's kinachoanza Dhidi ya Singida Fountain Gate
  7. Kikosi cha YOUNG AFRICAN'S Vs SINGIDA FOG Leo Tarehe 29 Desemba 2024 NBC PL

    Kikosi cha YOUNG AFRICAN'S Vs SINGIDA FOG Leo Tarehe 29 Desemba 2024 NBC PL

    KIKOSI Cha Young African's vs Singida Fountain Gate Leo 29 December 2024 Klabu ya Yanga itakuwa nyumbani Leo kucheza mchezo unaofuata wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate . Mchezo huo utapigwa December 29, 2024 kwenye Uwanja wa KMC Complex Mkoani Dar es salaam. Kuelekea mchezo...
  8. Siku Ya Mchezo: Young African's vs Singida Fountain Gate Leo 29 December Nbc PL 2024/2025.

    Siku Ya Mchezo: Young African's vs Singida Fountain Gate Leo 29 December Nbc PL 2024/2025.

    Leo Jumapili ya mwisho Kwa Mwaka huu 2024, itakwenda kushereheshwa na mechi kubwa kabisa ya Ligi kuu Nbc PL Tanzania kati ya Mabingwa watetezi na wawakirishi pekee wa Tanzania kunako michuano ya kilabu bingwa Africa CAFCL, Yanga Dhidi ya Singida Fountain Gate katika uwanja wa KMC Complex Dar es...
  9. Michezo Ya Leo Jumapili 29 December 2024.

    Michezo Ya Leo Jumapili 29 December 2024.

    Mechi za Leo Jumapili 29 December 2024 Tanzania – Premier League 16:00 Coastal Union vs Kinondoni MC 16:00 Young Africans vs Fountain Gate FC Tanzania – NBC Championship 16:00 Kiluvya FC vs African Sports England – Premier League 17:30 Leicester City vs Manchester City 18:00 Crystal Palace vs...
  10. Wachezaji Simba sports club Wapewa Mapumziko.

    Wachezaji Simba sports club Wapewa Mapumziko.

    Kocha Fadlu Davids amewapa mapumziko ya siku mbili wachezaji wake ambapo ni leo na kesho Jumatatu Kikosi kitarejea mazoezini Jumanne asubuhi na jioni kitaanza safari kuelekea Tunisia kwaajili ya mchezo wa CAFCC dhidi ya CS Sfaxien utakaochezwa jumapili ya Januari 5 mwakani 2025 Simba watafika...
  11. Mousa PinPin Camara Goalkeeper Wa Simba sports club

    Mousa PinPin Camara Goalkeeper Wa Simba sports club

    Msimu uliopita Vumi Ley Matampi alitwaa Tuzo ya golikipa bora akiwa na Cleen sheet 15 kwenye mechi 24 za Nbc PL alizosimama langoni. Msimu huu 2024/2025 Moussa Pinpin Camara tayari ana cleen sheet 12 mzunguko wa kwanza tu... (mechi 15) Amebakiza Cleen sheet 3 kuifikia rekodi ya Matampi...
  12. Miguel Gamond Aibuka Raja Casablanca Morocco

    Miguel Gamond Aibuka Raja Casablanca Morocco

    Aliyekuwa kocha wa Yanga Sc, Miguel Angel Gamondi anatarajia kutangazwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Raja Casablanca ya Morocco kuchukua nafasi ya kocha Ricardo Sa Pinto aliyefutwa kazi wiki iliyopita.
  13. Kwa Kagoma Simba sports club Wamepata Mtu

    Kwa Kagoma Simba sports club Wamepata Mtu

    Yusuph Kagoma ni miongoni mwa viungo wachache wazawa wanaofanya vizuri sana kwenye Ligi kuu Tanzania Bara hasa kwenye hizi klabu kubwa. Kagoma amekuwa nguzo kubwa na imara kwa klabu ya Simba jambo ambalo linampa urahisi zaidi kocha Fadlu wa kumtafuta pacha atakayecheza nae. Kumuweka benchi...
  14. SIMBA SC KATIKA LIGI KUU MPAKA SASA

    SIMBA SC KATIKA LIGI KUU MPAKA SASA

    ➡️ROUND 15. (FIRST ROUND)✅ ⚽MOST GOALS 🇨🇮Jean Charles Ahoua - 7 🇨🇲Leonel Ateba - 5 🇺🇬Desse Mukwala - 4 🇨🇩Fabrice Ngoma - 3 🇹🇿Valentino Mashaka - 2 🇨🇲Che Melone - 2 🇹🇿Awesu Awesu - 2 🇹🇿Edwin Balua - 2 🇹🇿Shomari Kapombe - 2 🇨🇬Debora Fernandez - 1 🇹🇿Mohammed Hussein - 1 🅰️MOST ASSISTS 🇮🇪Jean...
  15. Msimamo Leo 28 December 2024: Nbc Premium league 2024/2025.

    Msimamo Leo 28 December 2024: Nbc Premium league 2024/2025.

    Simba anaendelea kusalia pale juu nafasi ya kwanza na alama 40 akishinda michezo 13 sale 1 na kupoteza 1 huku akifunga mabao 31 na kuruhusu mabao 5 pekee. Simba amekamilisha michezo yake yote ya Ungwe ya kwanza. Yanga mwenye alama 36 Nyuma ya Simba huku akiwa na Mchezo mmoja mkononi kukamilisha...
  16. Mchezo Umetamatika: Dodoma Jiji 3 vs 1 Mashujaa Fc

    Mchezo Umetamatika: Dodoma Jiji 3 vs 1 Mashujaa Fc

    Mchezo wa Dodoma Jiji kutoka Dodoma Dhidi ya Mashujaa Fc kutoka Kigoma umemalizika Kwa Dodoma Jiji kuibuka na Ushindi wa Goli 3 Dhidi ya Goli 1 la Mashujaa, Magoli ya Dodoma Jiji yalifungwa na Mwana kibuta dakika ya 12, Lulihoshi Herietier dakika ya 16 na la mwisho katika dakika ya 83 likifungwa...
  17. Uchambuzi Mechi Ya Leo Jumamosi 28 December 2024: Singida black star 0 vs 1 Simba sports club.

    Uchambuzi Mechi Ya Leo Jumamosi 28 December 2024: Singida black star 0 vs 1 Simba sports club.

    Simba na 4-2-3-1 , waliamua kufanya mabadiliko kwenye eneo la kiungo (Kagoma na Ngoma) wakianza kama “Double Pivot” then Ahoua mbele yao huku Mpanzu na Kibu wakitokea pembeni …. Nini Simba walikifanya wakiwa na mpira ? ✍️ Build Up yao ilikuwa nzuri na 2-4 (CBs wawili + viungo wawili wa chini...
  18. Mchezo Umetamatika: Singida bs 0 vs 1 Simbasc Nbc PL 2024/2025

    Mchezo Umetamatika: Singida bs 0 vs 1 Simbasc Nbc PL 2024/2025

    Plan ya Fadlu Davids imeanzia kWa huyu mwamba “Jean Charles Ahoua” wakati timu inashambulia kuwa na uharaka wa kufanya maamuzi na pass sahihi kwenda mbele 👏 Ahoua akiwa na mali Kibu anakuwa wides zaidi the same na Mpanzu + Mukwala sio standing straiker anamove nafasi nyingine (spaces zinakuwa...
  19. Mapumziko: Singida BS 0 vs 1 Simbasc Nbc PL

    Mapumziko: Singida BS 0 vs 1 Simbasc Nbc PL

    Game bora kuishuudia…. High intensity 🔥 Simba wanaunda mashambulizi kwa uharaka sana kwa kutumia mawings wao (Mpanzu na Kibu) ambao wanakuwa wides sana : Simba wanaanza Build Up vizuri sana wanaipita pressing ya Singida kwa pasi fupi fupi + Position ya viungo wao 👍 Singida hawakuzuia wakiwa...
  20. Kikosi cha SIMBA SC Vs SINGIDA BS Leo Tarehe 28 Desemba 2024 NBC Premier League

    Kikosi cha SIMBA SC Vs SINGIDA BS Leo Tarehe 28 Desemba 2024 NBC Premier League

    Hiki hapa Kikosi cha SIMBA SC Vs SINGIDA BS Leo Tarehe 28 Desemba 2024 NBC Premier League
Back
Top Bottom