You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Account yangu ya ajira portal upande wa my application data zangu zmefutika
Gift
Administrator
Staff member
Reputation: 100%
Tuma maelezo yako yote kwenda
[email protected] ukiambatanisha na namba yako ya NIDA. Kumbuka kuandika maelezo yanayoendana na tatizo lako.
2. Kama upo karibu na ofisi za utumishi ni bora ukafika hapo ofisini ili usaidiwe kwa haraka zaidi.
@songambele
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.