Manispaa ya Iringa imetangaza orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC December 2024

Manispaa ya Iringa imetangaza orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC December 2024

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,576
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Iringa Mjini anapenda kuwataarifu waombaji wa kazi ya muda ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kuwa usaili utafanyika kama ifuatavyo:
  • Tarehe: Kuanzia Jumanne, 10/12/2024 hadi Jumatano, 11/12/2024
  • Mahali: Ukumbi wa Shule ya Msingi Lugalo
  • Muda: Saa 2:00 kamili asubuhi
Manispaa ya Iringa imetangaza orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC December 2024

Tafadhali zingatia yafuatayo:
  1. Wasailiwa wote wanatakiwa kufika kwa wakati ili kuepuka changamoto za kuchelewa.
  2. Orodha ya waombaji waliofanikiwa kufikia hatua ya usaili imeambatishwa kwenye tangazo hili.
Ni muhimu kufuata maelekezo na kuzingatia muda uliopangwa. Tunawatakia kila la heri katika usaili huu.

Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana na ofisi ya Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Iringa Mjini.
 

Download PDF

Back
Top Bottom