Mkurugenzi wa Mji Kasulu Ametangaza Nafasi za Kazi leo 22 Octoba 2024

Mkurugenzi wa Mji Kasulu Ametangaza Nafasi za Kazi leo 22 Octoba 2024

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa

Sia

Moderator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
1,612
PSRS: Leo 22 Octoba 2024, Mkurugenzi wa Mji Kasulu amepokea kibali cha ajira mpya kwa Ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumbu Na. FA.228/613/01/C/021 cha tarehe 25 Juni, 2024. Hivyo watanzania wote wenye sifa wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo katika PDF hapa chini.
Mkurugenzi wa Mji Kasulu Ametangaza Nafasi za Kazi leo 22 Octoba 2024


Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28 OKTOBA, 2024
 
Back
Top Bottom