Ajira Mpya: Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwananyamala anawatangazia watanzania wenye sifa ya kuomba na kujaza nafasi sitini (60) za ajira ya Mkataba wa kujitolea, kuleta maombi yao. Nafasi za kazi zinazotangazwa ni:
Waombaji wote waambatishe nakala ya cheti cha kidato cha nne/sita, cheti cha taaluma, cheti cha kuzaliwa, maelezo binafsi (Curriculum Vitae). Waombaji watakaowasilisha "Result Slip" "Statement of Result" Provisional Result" au Transcripts HAVITAKUBALIKA.
Maombi yote yatume kwa:
Mganga Mfawidhi
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala,
S.L.P 61665,
DAR ES SALAAM.
Mwisho wa kuleta maombi ni tarehe 29/10/2024. Saa 9:30 asubuhi.
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Wametangaza Ajira Mpya 25
Nafasi zilizo tangazwa
- DAKTARI II - Nafasi 13
- Mwombaji awe na Shahada katika fani ya Udaktari kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali.
- Awe amesajiliwa na Baraza la Madaktari na awe na leseni hai.
- MTENKOLOJIA (MAABARA) II - Nafasi 5
- Mwombaji awe na Stashahada katika fani ya Maabara kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali.
- Awe amesajiliwa na Baraza na awe na leseni hai.
- MTENKOLOJIA II (Mionzi) - Nafasi 5
- Mwombaji awe na Stashahada katika fani ya Utenkolojia wa Mionzi kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali.
- Awe amesajiliwa na Baraza.
- AFISA MUGUZI MSAIDIZI II - Nafasi 20
- Mwombaji awe na Stashahada ya Uuguzi kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali.
- Awe na vyeti vya uuguzi na ukunga pamoja na leseni hai.
- AFISA USTAWI WA JAMII - Nafasi 1
- Mwombaji awe na Shahada ya Ustawi wa jamii kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali.
- MWANDISHI MWENDESHA OFISI (PS) - Nafasi 1
- Mwombaji awe na Stashahada ya Uhazili/NTA level 6 ya Uhazili kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali.
- MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU (MASJALA BAYANA) - Nafasi 1
- Mwombaji awe na Stashahada ya Utunzaji wa Kumbukumbu/NTA level 6 kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali.
- MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU (AFYA) - Nafasi 3
- Mwombaji awe na Stashahada ya Utunzaji wa Kumbukumbu za afya kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali.
- MSAIDIZI WA AFYA - Nafasi 8
- Mwombaji awe na Stashahada ya Utunzaji wa Kumbukumbu ugavi kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali.
- AFISA MAHUSIANO - Nafasi 1
- Mwombaji awe na Shahada ya Afisa Mahusiano kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali.
- MHUDUMU WA CHUMBA CHA MAITI - Nafasi 1
- Mwombaji awe amehitimu mafunzo ya mwaka mmoja ya uhudumu wa chumba cha kuhifadhia maiti kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali.
- Awe na umri usiozidi miaka 45 (Arobaini na tano)
- Awe amefaulu Kidato cha Nne/Sita
- Awe na Kitambulisho cha Uraia
- Awe na wadhamini wawili wanaotambulika na Serikali ya Kijiji/Mtaa anaopoishi.
Waombaji wote waambatishe nakala ya cheti cha kidato cha nne/sita, cheti cha taaluma, cheti cha kuzaliwa, maelezo binafsi (Curriculum Vitae). Waombaji watakaowasilisha "Result Slip" "Statement of Result" Provisional Result" au Transcripts HAVITAKUBALIKA.
Maombi yote yatume kwa:
Mganga Mfawidhi
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala,
S.L.P 61665,
DAR ES SALAAM.
Mwisho wa kuleta maombi ni tarehe 29/10/2024. Saa 9:30 asubuhi.
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Wametangaza Ajira Mpya 25