- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 1
Habari I za wkati huu, Mimi ni researcher and consultant, naweza kuandika research proposal, business proposal, report, research papers n.k natafuta Kama Kuna sehemu au kampuni ya kazi hizi wanaohitaji mtu mwenye skills hizi naombeni mnisaidie nifanye kazi. Asanteni sana