M

reject of job application to Ajira portal

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

mbegushabani

New member

Joined
Sep 8, 2025
Messages
1
Habari mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 44 nina degree ya sociology lakini pia nimesoma advance certifite ya driver (VIP )lakini kwenye mfumo wa portal kila nikiomba kazi inasema sina sifa iwe ya driver am afisa maendeleo ya jamii naomba msaada nisaidie hii changamoto (Portal inanipatia ujumbe huu check specific Academic qualification requirements for the job post )
 
Back
Top Bottom