Tangazo la Nafasi za Kazi MBIFACU - Desemba 2024

Tangazo la Nafasi za Kazi MBIFACU - Desemba 2024 28-12

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,648
Gift submitted a new resource:

Tangazo la Nafasi za Kazi MBIFACU - Desemba 2024 - Ajira mpya MBIFACU Tanzania

Mbinga Farmers’ Cooperative Union (MBIFACU) LTD ilianzishwa chini ya Sheria ya Vyama vya Ushirika Na. 6 ya mwaka 2013 kama Muungano wa Ushirika unaowahudumia na kuwa wakala wa Vyama 114 vya Ushirika wa Masoko ya Kilimo (AMCOS) katika Kanda ya Kusini mwa Tanzania. Muungano huu unafanya kazi katika Wilaya mbili za Mbinga na Nyasa ndani ya Mkoa wa Ruvuma, ukijikita zaidi kwenye zao la kahawa kama zao lake kuu.

Muungano unakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uzoefu wa kutosha...

Read more about this resource...
 
Back
Top Bottom