New posts
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), inapenda kuwataarifu wananchi wote kuwa huduma ya kupata Namba ya Kitambulisho cha Taifa (NIN), inaweza kufanyika kwa kutumia simu ya mkononi. Kupata...
- Question
Mkuu samahan, kwenye kujaza education detail form TAKUKURU, chin kuna sehem ya attachment sasa swali langu hapo ninaatachi degree certificate au transcript naomba kueleweshwa
- Question
Wakuu, naombeni msaada wa jinsi ya kubadili au kuongeza academic qualifications kwenye ajira portal.
- Question
habari naomba kuuliza walioenda usahili wakala wa huduma za misitu kada yoyote ile nasikia wakisema miaka 25 au 28 ukizidi ata wiki moja unatolewa ni kweli
- Question
Wadau Habari za jioni Samahani naomba msaada kuuliza kwa wadau ambao tayari wameshatuma application za TAKUKURU kama ni lazima kujaza au ku upload vyeti vya form four na six ikiwa tayari ume...
- Question
Ajira za takukuru walimu hazituhusu?
- Article
Haya hapa matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika tarehe 18/04/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti...
- Article
Hili hapa tangazo la kuitwa la kuitwa kazini Taasisi mbalimbali za Umma 17-04-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali...
- Question
Msaada wenye Kujua Hints ama Maswali ya Cooperative Officer grade two anisaidie
- Question
Naomba ufafanuzi niki upload CV kwenye mfumo wa PCCB inaandika invalid input labda kwa mtu aliyeweza kufanikiwa plz size ya cv ni 448KB