New posts

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  • Article Article
Hili hapa kuitwa kazini taasisi mbalimbali za Umma 23-04-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati...
Replies
1
Views
104
erick@2025
  • Question Question
habari mimi ni mgeni kidog kwenye mambo ya kuapply kazi Sasa Kuna tangazo moja la intern kwenye kampuni ya logistics Sasa mimi nilifanya application kwa kuchelewa dk 10 maana walisema "We...
Replies
3
Views
119
  • Question Question
Habari, ninaombeni mwenye matokeo ya usaili wa kuandika kwa kada ya ualimu wa daraja la latu C somo la Kiswahili anitumie, kwa WhatsApp number 0753266273
Replies
1
Views
94
  • Question Question
Naitaj nafasi ya kazi ya uwamiaji kwasbu naitaj
Replies
1
Views
160
  • Article Article
Hili hapa kuitwa kazini taasisi mbalimbali za Umma 22-04-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati...
Replies
0
Views
59
  • Article Article
Hili hapa kuitwa kazini taasisi mbalimbali za Umma 20-04-2026 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati...
Replies
0
Views
54
  • Article Article
Hili hapa tangazo la kuitwa kwenye usaili chuo kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM) 21-04-2026 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi...
Replies
0
Views
42
  • Article Article
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya ya Tarime 21-04-2026 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa...
Replies
0
Views
102
  • Article Article
Tangazo la nafasi za kazi chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (SUA) 23-04-2026 kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo kwenye mfumo wa ajira portal. Pakua PDF hapa.
Replies
0
Views
53
  • Question Question
Habari yako kaka, pole na majukumu ya kazi samahani nlikuwa naomba unisaidie kuuliza kwenye group kuna aliefaulu oral interview ya brac maendeleo iliyofanyika mwezi wa tatu Mkoa wa Arusha na...
Replies
1
Views
84
Back
Top Bottom