New posts
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
- Article
Maswali ya Usaili Transport Officer Interview 14-04-2026
Haya hapa baadhi ya maswali ya usaili yanayo ulizwa mara kwa mara katika Interview za Transport Officer.
- Question
Nauliza jaman watu wa trade officer oral tumepangiwa kesho interview 16/4/26 lakini mpka saivi usiku hawajaweka venue na wala hawajasema kama wamegairi Ila tu kuna muda ndo upo. Kwaio ni...
- Question
Habari! Naomba kupewa ABC juu ya aina za topics za kujiandaa na interview ya Tutor II (Chemistry) chuo cha maji..asanteni
- Question
Nikisearch maswali ya Trade officer kwenye group la usaili siyapati,sijui shida nini!?
- Article
Nafasi za Kujiunga na Jeshi la JWTZ 15-04-2026
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi JWTZ Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu kuanzia elimu ya Sekondari hadi elimu ya...
- Article
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi JWTZ Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu kuanzia elimu ya Sekondari hadi elimu ya...
- Question
Hello naomba maswali ambayo anayoweza kuulizwa katibu wa afya kwa oral msaada
- Article
Hili hapa tangazo la kuitwa kazini Taasisi mbalimbali za Umma ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali...
- Article
Hili hapa tangazp la kuitwa kwenye usaili chuo kikuu ardhi (ARU) 14-04-2026 Makamu Mkuu wa Chuo,Chuo Kikuu Ardhi (ARU) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili...