Featured content

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Resource 'Jinsi ya Kupata Kibali cha Uhamisho kwa Mtumishi wa Umma 2024/2025 | Utumishi au TAMISEMI'
Hatua Muhimu za au jinsi ya Kuomba Kibali cha Uhamisho kwa Mtumishi | Watumishi wa Umma 2024/2025 Kutoka kwa Katibu Tawala wa Mkoa kwenda TAMISEMI. Kwa mtumishi anayehitaji kuhamishwa kwenda sehemu nyingine kupitia TAMISEMI, ni muhimu kuwa na nyaraka zote zinazohitajika ili kuharakisha mchakato wa kuidhinisha uhamisho wake. Hapa ni mwongozo wa nyaraka na maelezo yanayohitajika: Barua ya Maombi ya Kibali cha Uhamisho kutoka kwa Mwajiri (Mkurugenzi): Mwajiri wa mtumishi, ambaye ni Mkurugenzi...
Resource 'Jinsi ya Kuhama kama Mtumishi wa Umma kutoka kituo kimoja cha kazi kwenda kingine | TAMISEMI 2024/25'
Hizi hapa hatua, Jinsi ya Kuhama kama Mtumishi wa Umma kutoka kituo kimoja cha kazi kwenda kingine | TAMISEMI 2024/25 au Utumishi Mamlaka za Uhamisho Kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 pamoja na Kanuni za mwaka 2003, Mamlaka za Uhamisho ni kama ifuatavyo: Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma: Mamlaka ya jumla ya uhamisho. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI: Uhamisho wa watumishi wanaohama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine nje ya...
Resource 'Utaratibu wa Uhamisho wa Watumishi wa Umma 2024/2025 | Kuhama kufata Wenza Utumishi'
Hizi hapa fomu za maombi ya Utaratibu wa Uhamisho wa Watumishi wa Umma 2024/2025 | Kuhama kufata Wenza Utumishi, Jinsi ya kubadili kituo kimoja kwenda kingine TAMISEMI PDF ipo juu. Sheria na Kanuni za Utumishi wa Umma zinaeleza jinsi watumishi wa umma wanavyoweza kuhamishwa kutoka kwa mwajiri mmoja kwenda kwa mwingine. Hii ni kwa mujibu wa Sera ya Menejimenti na Ajira ya mwaka 2008, Sheria ya Utumishi wa Umma Sura 298, pamoja na Kanuni za mwaka 2022 na 2009. Utaratibu huu unafanywa ili...
Resource 'Nafasi za Kazi Kibosho KVTC | Ajira Mpya Chuo cha Ufundi Tanzania'
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kibosho KVTC | Ajira Mpya Chuo cha Ufundi Tanzania zilizo tangazwa siku ya leo unauwezo wa kutuma maombi kuanzia sasa. Karibu katika Kituo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi Kibosho (KVTC), kitovu cha elimu ya ufundi stadi na maendeleo endelevu ya jamii kilichopo Kibosho-Umbwe, Moshi, Kilimanjaro. KVTC tumejikita katika kutoa mafunzo ya vitendo ili kuwapa wanafunzi ujuzi wa kujenga taaluma yenye mafanikio na kuchangia kwa namna chanya katika jamii. Lengo letu ni kutoa...
Resource 'Nafasi za Kazi NRAP International Ltd Novemba 2024 | Ajira Mpya Tanzania'
Hizi hapa Nafasi za Kazi NRAP International Ltd Novemba 2024 | Ajira Mpya Tanzania zilizo tangazwa siku ya leo unauwezo wa kutuma maombi kuanzia sasa. NRAP International Ltd ni kampuni yenye dhima ya kisheria, iliyoandikishwa rasmi chini ya sheria za Jamhuri ya Tanzania. Tukiangazia mahitaji ya sekta mbalimbali, tumetengeneza suluhisho bunifu na za gharama nafuu zinazowafikia wateja wetu katika sekta kama vile vyombo vya habari, huduma za kifedha, bima, teknolojia ya habari, uzalishaji, na...
Resource 'Nafasi za Kazi Kutoka SUMET Tanzania Novemba 2024 | Ajira Mpya'
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka SUMET Tanzania Novemba 2024 | Ajira Mpya kwa watanzania wote wenye nia na sifa waweze kutuma maombi kuanzia sasa. SUMET ni kampuni ya usambazaji inayokua kwa kasi na yenye kutumia teknolojia, ikibadilisha mchakato wa kuzindua bidhaa mpya, kujenga mfumo wa kutathmini alama za mkopo ili kutoa huduma ya "nunua sasa, lipa baadaye" (BNPL) kwa wauzaji wa rejareja na jumla. Je, wewe ni kiongozi wa mauzo unayeweza kufikiria kimkakati na mwenye malengo ya kuleta...
Resource 'Nafasi za Kazi Kutoka Shirika la Aqua-Farms (AFO) Novemba 2024 | Ajira Mpya za Mashirika'
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka Shirika la Aqua-Farms (AFO) Novemba 2024 | Ajira Mpya za Mashirika zilizo tangazwa kwa siku ya leo kwa watanzania wote waweze kutuma maombi kuanzia sasa. Shirika la Aqua-Farms (AFO) ni Shirika lisilo la Kiserikali lililosajiliwa chini ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ya mwaka 2002 nchini Tanzania, likiwa na namba ya usajili ooNGO/0009297. Aqua-Farms lilianzishwa mwaka 2016 na kusajiliwa rasmi tarehe 6 Julai 2017. Lengo kuu la shirika hili ni...
Resource 'Nchi za Afrika zinazoongoza kwa ukosefu wa ajira 2024 | 10 Bora'
Hizi hapa Nchi za Afrika zinazoongoza kwa ukosefu wa ajira kuanzia mwaka 2023 mpaka 2024 NchiKiwango cha ukosefu wa ajira (%)Mwaka Afrika Kusini33.52024 Angola32.32024 Djibouti27.92022 Botswana27.62024 Swaziland22.22023 Jamhuri ya Congo21.82022 Senegal21.62024 Sudan20.82023 Gabon20.42023 Namibia19.62023 Ukosefu wa ajira ni changamoto kubwa kwa mataifa mengi barani Afrika, huku baadhi ya nchi zikiongoza kwa viwango vya juu vya ukosefu wa ajira. Afrika Kusini inaongoza...
Resource 'Nafasi za Kazi Kutoka Kampuni ya Qhihaya General Enterprises Novemba 2024 | Ajira Mpya 200 Madereva'
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka Kampuni ya Qhihaya General Enterprises Novemba 2024 | Ajira Mpya 200 za madereva zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye ari na nia ya kutuma maombi kuanzia leo. Qhihaya General Enterprises Limited ni kampuni inayo husika na uzalishaji na usambazaji wa Nguzo za umeme na makaa ya mawe nchini Tanzania. Ajira zilizo tangazwa 1. Dereva - Nafasi 200 Mwisho wa Kutuma maombi ni tarehe 25 Novemba 2024 Nafasi za Kujitolea MDH
Resource 'Nafasi za Kazi MDH Novemba 2024 | Ajira Mpya 332 za Kujitolea'
Hizi hapa Nafasi za Kazi MDH Novemba 2024 | Ajira Mpya 332 za Kujitolea Maombi yawasilishwe katika ofisi za halmashauri husika kabla ya tarehe 15 Novemba, 2024. Management and Development for Health (MDH) ni shirika lisilo la kiserikali ambalo lengo lakekuu ni kuchangia na kushughulikia vipaumbele vya huduma za Afya kwa umma kwa ajili ya ustawiwa jamii. Vipaumbele hivi ni pamoja na kuzuia kuenea kwa magonjwa ya kuambukiza kama vileVVU/UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria, kutekeleza huduma za...
Back
Top Bottom