Featured content

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Resource 'Nafasi za Kazi Kutoka Benjamin William Mkapa Foundation (BMF) Novemba 2024 | Ajira Mpya'
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka Benjamin William Mkapa Foundation (BMF) Novemba 2024 | Ajira Mpya zilizo tangazwa siku ya leo tarehe 8 Novemba 2024. Benjamin William Mkapa Foundation (BMF) ni Taasisi isiyo ya faida, iliyoanzishwa mwaka 2006 kwa lengo la kuhakikisha afya na ustawi kwa wote nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla. Dira yake ni kuunda suluhisho endelevu na imara kwa mifumo ya afya na huduma zinazohusiana, kwa matokeo yenye usawa wa kiafya. Dira na dhamira ya BMF zinaweza kufikiwa...
Resource 'Nafasi 105 za Kazi Kutoka Ajira Portal na Utumishi Novemba 2024 | NBS, DIT, IAA'
Kwa niaba ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS), Taasisi ya Uhasibu Arusha, Wizara ya Maji, na Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawaalika Watanzania wenye sifa zinazofaa, walio na uzoefu, ari na mwamko kujaza nafasi za kazi mia moja na tano (105) zilizotajwa kwenye PDF hapo juu. Kwa maelezo zaidi kuhusu nafasi zilizo tangazwa tafadhali tembelea tovuti ya Ajira Portal.
Resource 'Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Manispaa ya Sumbawanga | Mji Newala'
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Manispaa ya Sumbawanga | Mji Newala Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024.
Resource 'Matokeo ya Usaili Ajira Portal na Utumishi | TBC, Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH)'
Haya hapa Matokeo ya Usaili Ajira Portal na Utumishi | TBC, Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 5 mpaka tarehe 6 Novemba 2024, orodha kamili ya majina ya waliotwa kufanya usaili wa kuandika yapo chini. Matokeo ya usaili yaliyo tangazwa 1. Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) 2. Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa...
Resource 'Nafasi za Kazi Kutoka TACAIDS Novemba 2024 | Ajira Mpya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania'
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka TACAIDS Novemba 2024 | Ajira Mpya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania kutoka Utumishi kutuma maombi kuanzia leo. Kwa niaba ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha Watanzania wenye ari, uzoefu, na sifa stahiki kuomba nafasi moja (1) ya Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS). Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) ilianzishwa chini ya Sheria ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Na. 22 ya mwaka...
Resource 'Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TANROADS Novemba 2024 | Kuitwa kwenye Interview Mkoa wa Njombe'
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TANROADS Novemba 2024 | Kuitwa kwenye Interview Mkoa wa Njombe baada ya zoezi hili utaweza kuona matokeo ya usaili baada ya muda. MENEJA WA KANDA, TANROADS – NJOMBE anahusika na usimamizi wa kila siku wa mtandao wa barabara kuu na za mkoa katika Mkoa wa Njombe. Majukumu yake makuu yanahusisha usimamizi na maendeleo ya mtandao wa barabara, udhibiti wa mizigo, utekelezaji wa usalama barabarani na hatua za kimazingira, pamoja na kutoa...
Resource 'Nafasi za Kazi Kutoka MITU Novemba 2024 | Ajira Mpya Mwanza Intervention Trials Unit'
Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka MITU Novemba 2024 | Ajira Mpya Mwanza Intervention Trials Unit zilizo tangazwa siku ya leo kwa watanzania wote wenye nia na sifa waweze kutuma maombi kuanzia sasa. Mwanza Intervention Trials Unit (MITU) ni kitengo cha utafiti kilichopo kwenye kampasi ya Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa (NIMR) huko Mwanza, Tanzania. MITU inalenga kusaidia kuboresha afya kwa kufanya tafiti mbalimbali za masuala ya afya, kama VVU, kwa viwango vya juu vya kimataifa...
Resource 'Orodha ya Majina Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal (PSRS) | Taasisi Mbalimbali | Kada'
Hii hapa Orodha ya Majina Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal (PSRS) | Taasisi Mbalimbali | Kada Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024. Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 17 Agosti 2023 na 28 Mei 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa...
Resource 'Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal na Utumishi 2024 | Mkoa wa Mtwara'
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal na Utumishi 2024 | Mkoa wa Mtwara Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024. Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 22 Januari 2024 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa...
Resource 'Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Tabora'
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi na Ajira Portal | Mkoa wa Tabora Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024. Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 09 Desemba 2023 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada...
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom